minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,495
- 22,499
Sisi tunayemjua huyu BINTI ukipewa story zake utashangaakwanza mkuu nikupe hongera kidogo maana leo utalala usingizi mzuri. Binti mwenyewe huyu!
![]()
Sisi tunayemjua huyu BINTI ukipewa story zake utashangaakwanza mkuu nikupe hongera kidogo maana leo utalala usingizi mzuri. Binti mwenyewe huyu!
![]()
Cheki cowbell our milk du!. Kweli uzuri uko machoni pa mwonaji heche heche heche!.
![]()
Acha kurusha matusi bhanaaa
Hizi usoni kwake ni chunusi au fangasi?
Wakati mnaendelea kutokwa mapovu hapa jana watuhumiwa wa EPA Rwekaza na ndugu yake wameachiwa huru kutokana na DPP kutoa ushahidi dhaifu.
Ccm oyeeee!
Kwani hilo jina Kagem, lina maana ya Kamchezo? Coz hawa nao kila kabla ya nukta,english
Nimeamini ule msemo sura sio roho. Ila kazuri sana na kana kafiga. Kwa shepu nafikiri nimekapenda.
Hujui kuangalia wanawake!
Unamaanisha yule kikosi cha kutuliza GHASIA? Au?S.hit huyo ni mdada au mkaka? Anafanana na yule waziri wa nchi ofisi ya DHAIFU
kikum234a kitaishia simu za kuhongwa, hakiwzi kuwatukana watanzania wana ccm
Sisi tunayemjua huyu BINTI ukipewa story zake utashangaa