Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,128
- 143,647
Le Mutuz kama bado una connection NY, please muagizie haka kabinti brazilian wax aondoe huo ukungu wa kukwapa.
Kumbe nawe umeona eeh?
Anahitaji hii makitu huyo kinuka mkojo.
Le Mutuz kama bado una connection NY, please muagizie haka kabinti brazilian wax aondoe huo ukungu wa kukwapa.
Mkuu tpaul kadri siku zinavyosonga mbele, ile JF Lumumba team, inaendelea kupoteza wanachama, tayari weshawapoteza Mamndenyi na lusungo, hivi sasa naye Le Mutuz na Nyaningabu, nao wanaelekea kuzirejesha kadi zao za uanachama wa Lumumba team.hata wewe leo umeiguika CCM yako hivo? msamehe mCCM mwenzako Anna Tibaijuka.
Hahaha have mercy with this old chap.willy, hata kwenu mlikuwa stressed tena zaidi ya hivi, wakati Mzee Malecela anapotezwa kwenye siasa, hadi mkamchafua sana JK ikiwemo hadi kufungua "zeutamu"!
anawatukana "madayasipora".ngoja wenyewe waje.
Huyu mtoto anatafuta wanaume tu hana lolote.
Kama wana ushahidi dhidi yake wa yeye kupokea mgao kwa jina lake au kupitia kwa yeyote yule awe mama Wama au muajiriwa wa Ikulu aliyepewa maelezo huu ni mgao wa DHAIFU basi waweke kila kitu hadharani tena bila kuchelewa. Rais anasema ripoti ya CAG ichapwe magazetini ili Watanzania tuisome, mbona haruhusu ripoti ya TAKUKURU nayo ichapishwe magazetini ili nayo tuisome!?
- Duh no comment U know!!
Le Mutuz
Takukuru mbona hawajawahi kutoa ripoti ndugu? Kina Zitto wanasema waliwahoji si kutoa ripoti. Raisi mwenyewe alisema takukuru hawatoi ripoti bali utaisikilizia mahakamani