Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
sasa kama hazikua na majina walichukuaje pesa?maana hela itatoka acount A kwenda B,
ama mnamistake money withdrawing na money transfer?
maana sawa mtu anaweza kuwidraw hela na akaenda kufanyia kazi anayojua na mtu akitransfer kwa acount ingine si lazima ionakane kapokea nani au ikoje hapo?


Huu ni muda muafaka kuanza kuwa-shame staff wa Stanbic, kwani ndio wanajua kilichotokea kwenye BENKI yao.waliopelekewa pesa wanafahamika.,ila watu wanalinda ajira zao. Aliye-expose account ya RUGE mkombozi, amefanya kazi kubwa kuliko kamati yote ya PAC,na TAKUKURU. kwani saga lote lime-center kwenye ile list ya malipo, kama isingekuwepo, Hawa mabwana wangekuwa wanaita watu waongo, wazushi, na majina yote ya kadhia.


Majizi ya aina ya Tibaijuka na wenzie bila kuwashika red handed, watakushinda kujitetea.


sasa hawana ujanja.
 
Ndilo tatizo kubwa la manyang'au; hawana urafiki wa kudumu, urafiki ni pale chakula kipo na wanakula wote. Hawakawii kutafunana pale mwenzao moja anapojikwaa na kuanza kuonesha dalili ya kudhoofika kwani ndizo tabia zao...!

Wote Hao Ni Ukoo Wa Panya
 
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 56m56 minutes ago

This is aimed at diaspora Tanzanians who are so desperate to be part of the convo but you aren't here with us. Shut. the. ***.up (5/7)
0 replies6 retweets0 favorites Reply
Retweet6
Favorite
More





KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 58m58 minutes ago

My mum did nothing wrong except wanting to help young girls get an education. A school built with my late father. Accepted a donation (2/7)
0 replies12 retweets0 favorites Reply
Retweeted12
Favorite
More






KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 46m46 minutes ago

But more disappointed about the women in Tanzania who are so happy to see a woman down on her luck. Don't worry your time will come.
0 replies9 retweets0 favorites Reply
Retweet9
Favorite









KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 44m44 minutes ago

So glad I can finally say how I feel about this whole #EscrowSaga. People believe what they want to believe, I know the truth.




KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 60m60 minutes ago

A donation that was from clean money upon which TRA taxes were paid (3/7)
0 replies11 retweets0 favorites Reply
Retweet11
Favorite
More


A school built with my father? Kumbe mzee Tibaijuka alikuwa vifaa vya ujenzi?
 
Wahaya wanasema 'Akati kalakusiga amazi, kaikala katagalaile' (Kijiti kitakachokurushia kinyesi, kawaida huwa kimekakamaa)....Kwa wale waliowahi kuchimba dawa vichakani.
 
138811e450c6600c431b57079708cf9c.jpeg

Na hapo ndio kamaliza vipodozi vyote, lakini bado ana sura nzito! Mungu kajua kumnyima urembo huyu binti. Fikiria mama yake asingekuwa fisadi angekuwaje huyu?
Ova
 
ageuke tuone kwa nyuma yukoje but kuanzia kiunoni kushuka chini kama nime muelewa hivi....she is natural hana mbwembwe za kujiweka "kizungu".

Hilo Kontena Aliloliegemea Ndilo Lina Vifaa Vyote Vya Ujenzi Vya Shule Hiyo Na Hapo Alikuwa Anavilinda Kiukakamavu!
 
Kwa kuwa TZ ukipata uwazi ni ulaji, ulaji unapoondoka wanufaikaji roho zinauma sana. Ndiyo maana unaona hadi watoto wanajitokeza kuongea. Kwa ni aibu kwa mtoto kujitokeza na kuanza kutoa maoni ya asichokijua akiamini anajua. Subiri mama yako anapozeeka au siku zinavyoenda umuulize vizuri ndipo atakwambia ukweli siyo leo. Kwa leo hakuna ukweli wowote mama yako atakwambia. Wewe ulichoambiwa ni sawa na alichotuambia Watanzania wote ambacho siyo kweli. Kwa nchi ambazo zinademocrasia za kweli hauwezi kukuta wanafamilia wanajiingiza kwenye masuala ya kiutendaji ya wazazi au jamaa zao.
 
Mtoto hana maadili mema huyu.

This is aimed at diaspora Tanzanians who are so desperate to be part of the convo but you aren't here with us. Shut. the. ***.up (5/7)

Katutukana wakati mama yake ni MWIZI??
Tena si wizi wa DHIKI ni wizi wa kutaka zaidi?

Ada ya kusaidia watoto wa kike wasio jiweza ni TShs 4,000,000.
Ada ya shule za kata tu inawatoa kamasi wazazi malofa hizo 4M watazinya wapi?

You beautiful young lady just shut up and enjoy the ride.
Kufungua domo kwenye so la mama yako kutafanya ujipakaze shombo la wizi.

Mbona watoto wenzio wa MAFISADI wamejisindilia miamba vinywani mwao na kujibanza pembeni?
Wewe unajiona Asali?

Do the same, take a big rock shove in your big mouth and never talk again.
 
Pls mod!!do the needfull,hebu mpeleke huyu kwenye bench la kina Tibaijuka na AG.

ni kweli sms zake zinakera..ila nasi tujiepushe na matusi..hiyo ndo athari ya mtoto kukosa malezi mazuri kutoka kwa mama yake kama vile huyo mama alivyowakosea wa tz...amechanganyikiwa na lisura lake hovyo aliyejitahidi kuipendezesha kwa vijisent vya mama yake fisadi..
 
Najua wale waswahili wa Pwani wamefurahi sana na kufutwa kazi mama Tuba,Walifanya hivyo pia kwa innocent Kagasheki simply because they outshone their king on so many levels.Wahaya na Wachagga watabaguliwa daima ktk nchi hii
 
Sasa ndugu yangu unashangaa huyu mtoto kuwatukana wananchi, atashindwaje! Wakati hata mtoto mwenyewe unamuona kabisa kua hana maadili, hata mavazi yake unayaona kabisa hayana heshima. Huyu hakuchezwa na wala hakufundwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom