Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
when a serious blow like this hits you or your family it's better to remain silent.
 
Mtoto hana maadili mema huyu.

This is aimed at diaspora Tanzanians who are so desperate to be part of the convo but you aren't here with us. Shut. the. ***.up (5/7)

Katutukana wakati mama yake ni MWIZI??
Tena si wizi wa DHIKI ni wizi wa kutaka zaidi?

Ada ya kusaidia watoto wa kike wasio jiweza ni TShs 4,000,000.
Ada ya shule za kata tu inawatoa kamasi wazazi malofa hizo 4M watazinya wapi?

You beautiful young lady just shut up and enjoy the ride.
Kufungua domo kwenye so la mama yako kutafanya ujipakaze shombo la wizi.

Mbona watoto wenzio wa MAFISADI wamejisindilia miamba vinywani mwao na kujibanza pembeni?
Wewe unajiona Asali?

Do the same, take a big rock shove in your big mouth and never talk again.

Whoa... This is s real peace of s***,nice advice to her.... Just passing by💃💃💃💃💃💃💃💃
 
Nilifikiri nimeliona peke yangu hili!!!
Wale wanaozungumziwa kwenye hii saga in wale wa Mkombozi Bank tu wa bilioni 70,sijaona kabisa wale wa Stanbic bank wa bilioni 200 wakizungumziwa kabisa na mbaya zaidi upande huo nasikia ndipo familia ya JK ilipoingiziwa!!!

Nafikiri kufukuzwa kwa Tibaijuka utakuwa mwanzo wa kujua yote,maana kuna kundi ambalo halitakubali mama huyo 'afe' peke yake!Kwani inavyoonyesha,ametolewa muhanga kwa ajili ya kuipoza tu hii saga!
Time will tell!!

aliwahi kugonga punda kahama tulimsihi amlipe yule mzee punda wake asijerogwa hakutusikiliza. naona kale ka babu kamefanya mambo yake. atakuwa karogwa tu.
 
Nilifikiri nimeliona peke yangu hili!!!
Wale wanaozungumziwa kwenye hii saga in wale wa Mkombozi Bank tu wa bilioni 70,sijaona kabisa wale wa Stanbic bank wa bilioni 200 wakizungumziwa kabisa na mbaya zaidi upande huo nasikia ndipo familia ya JK ilipoingiziwa!!!

Nafikiri kufukuzwa kwa Tibaijuka utakuwa mwanzo wa kujua yote,maana kuna kundi ambalo halitakubali mama huyo 'afe' peke yake!Kwani inavyoonyesha,ametolewa muhanga kwa ajili ya kuipoza tu hii saga!
Time will tell!!

Upo sahihi kabisa.
 
Watoto wote wa viongozi wanajifanya viburi sana kuna moja alichelewa kupanda ndege akazuiwa kuwa muda umeenda hizo matusi aliovurumisha may God forbid. Any way Anna amegundua what comes around goes around.
 
B1HgTD7IEAA1aKQ.jpg:large

Acha kurusha matusi bhanaaa

Hahahaa uwiii hapo kapaka na lipustiki sijui akitoa makeup inakuaje😷😷😷
 
Look, she is not beautiful like myself. Her words are also ugly. but anyway, she has made herself availabe for public accussations and possible prey against her human dignity. Why using words like "*** you". Who is to be fucked if not herself! Does she have an organ to ***?
 
Nimeamini ule msemo sura sio roho. Ila kazuri sana na kana kafiga. Kwa shepu nafikiri nimekapenda.

mkuu una njaaa....anyway.....kweli kanaa kashepu fulani ukimkunja kuna 18 ktk dah sipati picha
 
ajifunze kukaa kimya kama watoto wa lowassa na watoto wa viongozi wote ambao baba/mama zao waliondolewa madarakani kwa uzembe,ubadhirifu au fitna na chuki tu za kisiasa.hiki kidomo domo chake ndicho kilicho mponza bmkubwa wake.
 
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 56m56 minutes ago

This is aimed at diaspora Tanzanians who are so desperate to be part of the convo but you aren't here with us. Shut. the. ***.up (5/7)
0 replies6 retweets0 favorites Reply
Retweet6
Favorite
More





KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 58m58 minutes ago

My mum did nothing wrong except wanting to help young girls get an education. A school built with my late father. Accepted a donation (2/7)
0 replies12 retweets0 favorites Reply
Retweeted12
Favorite
More






KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 46m46 minutes ago

But more disappointed about the women in Tanzania who are so happy to see a woman down on her luck. Don't worry your time will come.
0 replies9 retweets0 favorites Reply
Retweet9
Favorite









KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 44m44 minutes ago

So glad I can finally say how I feel about this whole #EscrowSaga. People believe what they want to believe, I know the truth.




KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 60m60 minutes ago

A donation that was from clean money upon which TRA taxes were paid (3/7)
0 replies[/COLORweets[/B]0 favorites Reply
Retweet11
Akili ya kiwizi ka ya mama yako......nendeni mkare pesa zetu Randan.
 
We ni mgeni na haya kwa nyie watoto wa viongozi??!!
Unafiki tu unajishangaza nini kwa ufedhuli wa watoto wa baadhi ya viongozi??!!

Au huyu hauko naye kundi moja ndio maana unamleta hadharani??!
Matusi sio kitu kizuri ila wewe sio wa kushangaa na hilo haswa ukiwa kiongozi ya jumuiya ya wazazi, hawa ndio watoro wenu huko kufoji vyeti za kuzaliwa, yule wa bastola kijitonyama naye, mbona uvundo ni mkubwa tu!!!!

Ukimfuga simba bila umakini atakutafuna tu. . . . . . Huu ni mwanzo!!!
 
nawasiwasi na elimu ya huyo binti ila wakati wake ushafika akaolewe tu asimtegemee tena fedha za msaada kwa mama yake
 
Eti I know the truth! my foot, who are u?, yes you know the truth, so what?. Anyway hicho ni kimuhemuhe cha disappointment, baadae ataufyata.
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



- Haya ni matusi yaliyorusshwa na mtoto wa Waziri wa zamani wa Ardhi Mama Anna Tibaijuka, maana yake ni kwamba huyu mtoto alidhani Mama yake atakuwa Waziri mpaka mwisho wa Dunia na hiki kiburi cha kuamini Mama yake atakuwa Waziri wa Milele anakitoa wapi kama sio toka kwa mzazi wake? Hawa ndio Viongozi wetu wa sasa hata watoto wao nao wamejivika kiburi cha ajabu maana hata Mama yake naye alidai akijizulu Rais atamshangaa na kwamba yeye ni jembe la Rais, huku wafanyakazi wa Ardhi wamepanga kufanya sherehe kubwa za kushangilia kuondoka kwake. CCM irudishe tena ile taibia ya Viongozi wake wa juu kupitia Kivukoni kwanza maana ni huzuni kwa mtoto wa Waziri wa zamani wa CCM kurusha maneno machafu kama haya kwa wananchi, ina maana mpaka sasa huyu mtoto haelewi madhambi ya Mama yake ya kupokea mapesa mengi akiwa kwenye nafasi ya UWaziri wa Jamhuri, sasa kama hata watoto wao hawaelewi na wanakimbilia kugombea uongozi wa Taifa tutegemee nini hasa kutoka kwa hawa Viongozi wetu na watoto wao?

- Kuna siku Mama yake aliwahi kukuta magari mengi kwenye njia anayopita kwenda nyumbani kwake kwa sababu inapitia Club ya 327 Mikochen, Mama kwa hasira akafunga ile Club kisa magari yamemsumbua kwenye njia ya kufika kwake, sasa niambie huyu ni kiongozi wa Taifa ambaye hawezi kuheshimu starehe za wananchi, anaifunga Club kwa sababu tu kakasirika sasa ndio maana na watoto wao wanakuwa na kiburi cha ajabu kama huyu mjinga aliyerushia wananchi matusi huko twitter, this is sad!!

Le Mutuz


Wewe LE MUTU NDO UNGEKAA KIMYA.HUNA LA MAANA ZAIDI KUTANUA NA HELA ZA KIFISADI.WDWE MWENYE UNAFUJA MALI AMBAZO MSINGI NI UMMA.ANGALIA WATOTO WA NYERERE,KAWAWA,MSUYA,MWINYI, WENGI WASTAARABU NA HAWANA MAJIVUNO KM WEWE.KAA KIMYA!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom