Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
Kama wana ushahidi dhidi yake wa yeye kupokea mgao kwa jina lake au kupitia kwa yeyote yule awe mama Wama au muajiriwa wa Ikulu aliyepewa maelezo huu ni mgao wa DHAIFU basi waweke kila kitu hadharani tena bila kuchelewa. Rais anasema ripoti ya CAG ichapwe magazetini ili Watanzania tuisome, mbona haruhusu ripoti ya TAKUKURU nayo ichapishwe magazetini ili nayo tuisome!?

Nilifikiri nimeliona peke yangu hili!!!
Wale wanaozungumziwa kwenye hii saga in wale wa Mkombozi Bank tu wa bilioni 70,sijaona kabisa wale wa bilioni 200 wakizungumziwa kabisa na mbaya zaidi upande huo nasikia ndipo familia ya JK ilipoingiziwa!!!

Nafikiri kufukuzwa kwa Tibaijuka utakuwa mwanzo wa kujua yote,maana kuna kundi ambalo halitakubali mama huyo 'afe' peke yake!

Time will tell!!
 
wackkkk........HE must be out of HER mind...(he and her...msinikosoe tafadhali) Eti shule inayosaidia young girls. School fee at tzs 4.5 - 5ml you still call that a help?...you must be out of your senses

Ndio mtindo wa siku hizi. Hizi shule zinazoitwa Academy inasemekana 'zinasaidia' watoto kupata elimu. Pamoja na ada zao kuwa kubwa, bado wanachangisha wazazi michango kujenga majengo zaidi eti ili waendelee 'kusaidia' watoto zaidi. Huu ni msaada au biashara?

Nadhani ni kwa sababu hii ndio maana hata attention ya serikali kwenye shule zake imekufa kabisa ili ku-'promote' hizi shule 'za hali ya juu'
 
Mjomba wajanja walienda na magunia...

Na wale wa Ikulu waliopokea kati ya milioni 800 na bilioni 5 je walizipokea kwa majina yepi!? Walitumia majina yao halisi au walitumia majina fake au ya "kampuni" zao? Bado kuna maswali mengi sana ambayo hayana majibu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
B1HgTD7IEAA1aKQ.jpg:large

Acha kurusha matusi bhanaaa
Kumbe Ndiye huyu!
 
Kama wana ushahidi dhidi yake wa yeye kupokea mgao kwa jina lake au kupitia kwa yeyote yule awe mama Wama au muajiriwa wa Ikulu aliyepewa maelezo huu ni mgao wa DHAIFU basi waweke kila kitu hadharani tena bila kuchelewa. Rais anasema ripoti ya CAG ichapwe magazetini ili Watanzania tuisome, mbona haruhusu ripoti ya TAKUKURU nayo ichapishwe magazetini ili nayo tuisome!?

Mkuu,
Tatizo la akaunti za Stanbic bank,akaunt zote hazikuwa na majina ya waliotumiwa pesa.Nafikiri hicho ndicho kilichomlewesha mama tiba na kufikiri kuwa hata likibumburuka bac kitakuwa kifo cha wengi!Kumbe wenzie wamemzidi akili,yeye akaingia mzima mzima na jina lake akaliweka kwenye akaunti!
 
Mimi hiyo shule wanayosema ni msaada kwa wasichana mbona siielewi?

Kuna watoto wangapi pale ambao hana uhusiano nao kindugu wanaolipa japo 360,000 kwa mwaka( tukichukulia ndie mzazi ambae hana uwezo anamlipia 1,000 kwa siku)
 
Let's say that she trully wants 2 help Tanzanian women through education. What is the fee structure at Babro? Who really sends their girls at Babro? What did the school do with the money?
 
Mkuu hakuna kinachoshindikana kama majina ya wenye accounts hizo yakitakiwa yajulikane watayajua tu.

Back
Top Bottom