Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,203
Yaani wewe msela maviii unaye andika demu kila sentence, demu ndio mdudu gani? kwanza dogo usitukane wakunga na uzazi ungalipo Subiri utungishe mimba kwanza. Umekanzana huku kijiweni wanasema so what kama wanaongea.Hayo niliyo andika ni lawama ambazo washikaji wanasema kwa masikitiko huku mitaani/kijiweni. Wengi wanakuja kutafuta suluhisho na kulalamika yale yanayowakuta na mademu wao. Tunawaambia tu waachane nao. Binafsi sipendi kutoka na demu mwenye mtoto au watoto aliyezaa na mtu mwingine kwani kutokana na uzoefu wangu juu ya mademu unaweza kuta huyo demu alizaa na kibaka ama jambazi kwa ajili ya tamaa tu kwa sababu jamaa alikuwa nazo kabla hajakamatwa ama kuuliwa, unafikiri huyo mtoto atakuwa na akili gani kama si laana tu za baba yake? Sitaki kurithi laana za wanaume wenzangu hata siku moja.