Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,712
Kabisa kabisa. Mimi kawaida sitakagi pressure ya moyo kabisa. Napenda sana kuishi kwa furaha. Kwa hiyo mimi mtu tukishindwana kabisa,awe Ke au Me,baada ya muda fulani nashuka mimi namuomba samahani. Na mara nyingi toka nimejifunza hiyo njia huwa inanipa amani sana. Ukimuomba samahani hata aliekukosea lakini hajagundua amekukosea,baada ya kumuomba samahani maumivu yote uliyokuwa nayo yanahamia kwake. Hiyo ndio siraha ninayoishi nayo na mke wangu. Vinginevyo tungekuwa tumeachana siku nyingi. Ksbb yeye halijui neno samahani. Huwa hapo tu ndio anashindwa kunielewa hapo tu namuachia mtihani
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli mkuu... ht mm 2yrs back nimekuwa mtu wa kuomba misamaha tu mradi maisha yasonge😊😊 and am happy ...kuwekeana machuki chuki unafunga roho yako ht haiji...sitak kbs aisee ...yaan hujui atakayekusaidia huko mbelen..nina mifano mizuri sana iko siku nitaiweka hapa..