Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...

Tuwasamehe tu

wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…

Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…

Especially wakiwa wadogo,

wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc

hii trauma inabaki kwenye ubongo,

ambayo ina result into hatred towards women,

Utawajua tu humu,

tabia ni ngumu kuficha,

Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..

he is probably twisted!

Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
 
Muache kutuumiza aisee
Mimi mpaka leo wanawake wanajihisi vibaya.nawajibu shit wakiongelea niwaoe.
Sometime tuko na washkaji anakuja demu ananipa Hi sijibu .yani in short hua mnaacha a huge scar mioyoni mwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongelea swala zito kwa wepesi hadi wajinga tutaelewa.

Pia hata namna yetu ya kuishi ndani ya mahusiani ni tatizo. Hatushindwi kumwambia mwanamke "Wewe njoo mimi nina nye** nataka nikuto***"

Kupiga wanawake ndiyo zetu yaani sisi ndiyo tupo hivyo. Tukitongoza tukikataliwa huyo mwanamke kataka ugomvi na hata salamu hapati tena.
 
Kweli kabisa, kuoa mwanamke single mother ni sawa na kununua kiwanja bila kupewa hati, mwanaume rijali mwenye akili timamu hawezi kuoa single mother.hata wewe mwenyewe huwezi kukubali mtoto wako wa kiume akioa single mother
Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...

Tuwasamehe tu

wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…

Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…

Especially wakiwa wadogo,

wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc

hii trauma inabaki kwenye ubongo,

ambayo ina result into hatred towards women,

Utawajua tu humu,

tabia ni ngumu kuficha,

Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..

he is probably twisted!

Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongelea swala zito kwa wepesi hadi wajinga tutaelewa.

Pia hata namna yetu ya kuishi ndani ya mahusiani ni tatizo. Hatushindwi kumwambia mwanamke "Wewe njoo mimi nina nye** nataka nikuto***"

Kupiga wanawake ndiyo zetu yaani sisi ndiyo tupo hivyo. Tukitongoza tukikataliwa huyo mwanamke kataka ugomvi na hata salamu hapati tena.
Well said. Kuna mmoja nime date nae for like 1 month nimemfanyia yote uliyoandika hapo.juzi kasema tuachane nikamjibu poa tu.leo kanitafuta anasema "kwahiyo hata huombi msamaha turudiane" nikajibu afu unipotezee sitaki kuongea na wewe tena.namba nimefuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzoni ninavyijiunga na huu mtandao nilikuwa sichukulii maisha ya hapa jukwaani kivileee. Lakini bahati mbaya nikaja kujua kwamba kumbe kuna watu hapa Jamii Forums ndiyo wamefika na kila jambo wanalolisema huwa wanalimaanisha. Sasa asilimia 70% ya wengi wa wanaochukiwa humu ndani na kudhalilishana ni wale waliojitakia wenyewe kwa kukosa umakini au kuendekeza tabia za uswahili uswahili. Nasema ni heri mtu aje atukane wanaume wote tu au wanawake wote, lakini siyo aje aanze kukusakama wewe peke yako. Mara zote matusi ya hapa jukwaani huwa yanaanzia huko PM hasahasa baada ya kutongozana au kukutana uso kwa uso.
 
Rebbeca,tuwe wakweli dada angu,una mtoto wako wa kiume Ana miaka 27,anakwambia mama nataka kuoa,then anakuletea mkwe tayari Ana watoto wawili ambao sio wa mwanao???lazima uwe surprised na kuhoji,

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie napenda watoto sana, :D:D:D,

kwa kweli nitajali furaha ya mwanangu,

kama huyo ndio mchumba anayempa furaha,

sitajali kama ana watoto wawili,ni kilema etc
 
Mwanzoni ninavyijiunga na huu mtandao nilikuwa sichukuliia maisha ya hapa jukwaani kivileee. Lakini bahati mbaya nikaja kujua kwamba kumbe kuna watu hapa Jamii Forums ndiyo wamefika na kila jambo wanalolisema huwa wanalimaanisha. Sasa asilimia 70% ya wengi wa wanaochukiwa humu ndani na kudhalilishana ni wale waliojitakia wenyewe kwa kukosa umakini au kuendekeza tabia za uswahili uswahili. Nasema ni heri mtu aje atukane wanaume wote tu au wanawake wote, lakini siyo aje aanze kukusakama wewe peke yako. Mara zote matusi ya hapa jukwaani huwa yanaanzia huko PM hasahasa baada ya kutongozana au kukutana uso kwa uso.
Hatari sana " chief... heshima yako aisee "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom