Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Kaka mbona wapo mabinti wengi ambao hawana watoto?? Kwanini ukajichoshe kwa sisi wenye watoto watatu au wanne? Mi nadhani mtu akidate mtu alienae amemridhia sielewi hayo maneno ya kusomesha watoto yanatoka wapi wakati ambao hawana watoto wapo wengi bado

Sent using Jamii Forums mobile app


Hayo niliyo andika ni lawama ambazo washikaji wanasema kwa masikitiko huku mitaani/kijiweni. Wengi wanakuja kutafuta suluhisho na kulalamika yale yanayowakuta na mademu wao. Tunawaambia tu waachane nao. Binafsi sipendi kutoka na demu mwenye mtoto au watoto aliyezaa na mtu mwingine kwani kutokana na uzoefu wangu juu ya mademu unaweza kuta huyo demu alizaa na kibaka ama jambazi kwa ajili ya tamaa tu kwa sababu jamaa alikuwa nazo kabla hajakamatwa ama kuuliwa, unafikiri huyo mtoto atakuwa na akili gani kama si laana tu za baba yake? Sitaki kurithi laana za wanaume wenzangu hata siku moja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Demiss mamy bora left kabisaa jamiiforums hii ni aibu ya mwaka najitahidii kubembeleza wapi kidume kakomaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha
afunguke labda nilikula hela zakeee bhn si unajua[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana sisi wanawake fahari yetu, furaha yetu kuitwa MAMA haijalishi utaandika vipi. Omba sana Mungu asikupe watoto wa kike Sawa.

Sijakuelewa bado, unanilalamikia mimi kwa kusema masikitiko ya washikaji au?
 
basi waache wanaoweza tongoza na kuishi na single mama...


Mbona sijakataza mtu kutoka na single mother? Nimekujibu wewe kuwa sijawahi kutoka na will never tongoza ama kutoka na a single mother baada ya wewe kunifananisha na mtu mjuaye. Naona unajichanganya sasa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom