Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,661
- 8,219
Duuuh...! Bado unae tu mkuu? Akupe mwanae...?Sikukaribishi wala nini we si umeninyima mwanao
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh...! Bado unae tu mkuu? Akupe mwanae...?Sikukaribishi wala nini we si umeninyima mwanao
Hahahahahmtaje!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nina sms elf 27 vipi View attachment 982082
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaahh sawa, upo tayar kuona rafiki yako wakike, akichezewa na maanaume alowah kua wako na unamjua kua huyu maanaume ni muhuni?????Halafu la ajabu sijauona huo uzi wa gudume
Sema sie wanawake na mabinti hatupend kutolewa siri zetu,hata kama ni kweli tunastahil kustahiwa utu wetu
Isitoshe hakuna aliyekamilika si wakiume wala wa kike
Kila mmoja ana haki na kustiriwa heshima yake ,ndio ubinaadamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama wa mwenzio ni mama yako pia! Muheshimu mama wa mwenzio. unamwita mama yake SHETANI, Mama ambae hajakukosea lolote wala hajui km upo JF unalumbana na mwanae!Shetani mamako pamoja na hicho kisimi chako.
Acha ku abuse wanawake wenzio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nina sms elf 27 vipi View attachment 982082
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja waje wenye TRAUMA zao.Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...
Tuwasamehe tu
wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…
Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…
Especially wakiwa wadogo,
wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc
hii trauma inabaki kwenye ubongo,
ambayo ina result into hatred towards women,
Utawajua tu humu,
tabia ni ngumu kuficha,
Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..
he is probably twisted!
Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
🤣🤣🤣🤣🤣😲😲😲😲best unaonekana kila jukwaa upo kila uzi/Mada upo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nina sms elf 27 vipi View attachment 982082
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman msiendelee kuchochea moto kwenye hii ishu..sema shida wengine wanapenda kuona maugomvi ndo shida iko hapo..My dear Rebbeca kwa muda wako na sisy Kasie ikiwezekena na Dadii..myamalize kiutu uzima..ukìsoma fresh thread ya kasie hakuna cha kuchukuliana mabwana wala nn ila becky huenda alichefukwa either alikua stressed(siku hazifanani)...kwasabb umeona kbs kasie hakua na papara😊!myamalize jaman..ombaneni misamah pm huko naamini Kasie hana roho mbaya hyo nawasiwasi na Dadii tu mm😊😊!
cheers🍷🍺
Duuh...! Jamaa bado yuko na wewe tu mpaka huku mane? Una binti mrembo sana nini? Atuachie tu mtoto wetu asome bwaana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka niwashauri viongozi wa jamii forums wafute pm wabakishe pm zao tu, Wallah wanaume wengi watapinga tena wengi watakao pinga ni wale wanao toa povu kila siku kuhusu wanawake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hey who's that sucker treated badly by a single mother or is that a story like always.We single mother wa hum Jf ulichomfanya huyo kijana wa watu Mungu atalipa. Sio vizuri umemfanya mtoto wa mwanamke mwenzio kawa kama kichaa anaweweseka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa ule nshenji gete ubhebhe...
😷😤Nataka niwashauri viongozi wa jamii forums wafute pm wabakishe pm zao tu, Wallah wanaume wengi watapinga tena wengi watakao pinga ni wale wanao toa povu kila siku kuhusu wanawake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
HaujamboKikubwa tufikie hatua tukubali kuwa hapa JF tupo watu wa aina tofauti tofauti na siku zote mtu usiemjua usijiwekee expectations kuwa huyu yupo hivi ama vile.
Hapa tupo watu wa aina tofauti sana kuanzia umri, tabia, nia na malengo ya kuwepo, wasomi, wasiosoma na aina nyingine tofauti kabisa.
Kuna wengine humu ndani sio watu huwezi kuamini. Yaani sio binadamu kama ID zinavyoonyesha na jinsi tunavyo interact nao.
Chamuhimu ni kufuata wewe kilichokuleta.
Kama umefata papuchi wewe mwanaume alafu ukakutana na mwanamke aliefata nae mambo hayo mkazinguana huna haki ya kumsema mwenzako vibaya maana na wewe ndio wale wale tu.
Mtu unajisifu umetongoza wanawake kibao JF alafu unaanza kutaja tabia zao kwa kuwachafua bila kujiangalia wewe kama usingekuwa mchafu ungezijuaje hizo tabia chafu za hao wanawake?
Ungekuwa sio mhuni na mzinzi ungetongoza vipi hao wanawake wote na kujua tabia zao.
Nasikiaga mnasema 'nyani haoni kundule' sielewagi maana yake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole dear 🤣🤣🤣🤣
Wewe hatutaki maada hapa kesho mwana jf ajirusha kwenye ghorofa...
Wajua kuna mada zingine zinagusa watu wasohusika directly.Aaahh sawa, upo tayar kuona rafiki yako wakike, akichezewa na maanaume alowah kua wako na unamjua kua huyu maanaume ni muhuni?????
Mi nadhan, jambo lakujifunza ni kwamba vijana wawe makini lkn pia wanawake weken mipaka ya heshima zenu.
Kuna wakat mtoa.mada, anaandika ili kuonyesha hali halisi .iwe funzo ili kuepusha uharibifu mkubwa.
Je kwa mada kama iyo. kuna uchaguzi gan wamaneno wakufikisha ujumbe..au alipaswa kupiga kimya????.