Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Viwanja vipo vingi mkuu wewe tu na hela yako. Vipo wanapouza Heineken 2500 mpaka wanapouza 7000. Wewe wataka wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na Heineken za 7000 twenzetu kwenye za 2500 tunapiga za kutosha tu, kikubwa tupate decent place kwa kuchill with decent person kama wewe naamini itakuwa lit. Ladha ni ile ile. I'm chepa tourist remember.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo niliyo andika ni lawama ambazo washikaji wanasema kwa masikitiko huku mitaani/kijiweni. Wengi wanakuja kutafuta suluhisho na kulalamika yale yanayowakuta na mademu wao. Tunawaambia tu waachane nao. Binafsi sipendi kutoka na demu mwenye mtoto au watoto aliyezaa na mtu mwingine kwani kutokana na uzoefu wangu juu ya mademu unaweza kuta huyo demu alizaa na kibaka ama jambazi kwa ajili ya tamaa tu kwa sababu jamaa alikuwa nazo kabla hajakamatwa ama kuuliwa, unafikiri huyo mtoto atakuwa na akili gani kama si laana tu za baba yake? Sitaki kurithi laana za wanaume wenzangu hata siku moja.
Subiri mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wanawake humu tunawaletea shobo sana hawa wanaume mbwaa wengi wao humu tupunguze shobo mengi tunajitakia tu, Halafu bado tena tunaleteana unafki wa wazi wazi , thats why they cheapen us psychologically. hata kama ni single wereva huyo ni wewe tu wasikupelekeshe hawa pwamu then stand on your own feet, ndo maana mimi mambo yenu ya kisengerey nawaachiaga wenyewe na unafki wenu .
Wewe dada uko vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rebeca 83 ni kweli uyasemayo ila mengine mengi tu mnajiletea wenyewe kama kusingizia mimba kwa wanaume wengine, kupiga mizinga ili usomeshe watoto wa nduguzo au watoto uliozaa na vibaka ama majambazi kutokana na tamaa zako, kuroga wanaume wa wenzenu ili wawaoe nyie mlioshindikana.
 
In between kawe na Mbez beach...ila nikutaadharishe tuu yafuatayo
1.sio kuchangamka kule kama kwa bucket au element au samak samak
2.pa kitalii
3.mahal pa ku chill tu.mziki kwa mbali
4.wazungu kama wote
5.expensive
6.meza zao zna limit..lets say..kuna meza unatakiwa utumie not below 30k etc
7.hvo yan

So kama ni mtu wa viwanja panaeza kukuboa .

Mi napapendaga sabab mi na kelele za mziki ni mbalimbali.
Iko wapi hiyo mbaba? Pamechangamka?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ungenyamaza kabisa, ningeweza kusema mengi lakini haitanisaidia na wala haitakubadili, hustahili kuwa mpatanishi kwa kifupi


Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa vipi naona kama unanitafutia site vile uninyee....nilikua chaji feel free kuongea maana hii sio Mara ya kwanza as if una donge na Mimi

Sijapatanisha nimetoa maoni yangu baada ya ngabu kuleta mrejesho!

Ongea tu wangu usiogope!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom