Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,325
- 6,657
Jamaa kasema hataki kuoa mwanamke mwenye mtoto,na ametoa sababu zake za msingi,Sasa mbona mapovu mengi??? Hayo no Maisha yake binafsi, unataka umpangie mpaka mwanamke wa kuoa?Yaani wewe msela maviii unaye andika demu kila sentence, demu ndio mdudu gani? kwanza dogo usitukane wakunga na uzazi ungalipo Subiri utungishe mimba kwanza. Umekanzana huku kijiweni wanasema so what kama wanaongea.
Sent using Jamii Forums mobile app