Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Bora wewe wajua hayo..kuna bata hawajui hayo

Wanachojua kuharisha tu ovyoovyo kila wanapojisikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesikia yna2? Kuna jamaa yangu zamani kidogo alitibuana vibaya na demu wake,ilikuwa mpaka wakionana hivi jamaa anataka kurusha ugomvi,nikamwambia nitakuwa siongozani na wewe mahala popote. Nikamwambia sana jinsi ya kuishi hapa duniani,baadae akanielewa,akaenda kumuomba samahani yule demu,yakaisha. Hapo ilikuwa MBEYA. Yule demu akapata bahati akaolewa huko chunya mbele njia ya kwenda Mwanza kupitia chunya. Sasa huyu jamaa yangu huwa anasafirigi na lori lake. Siku moja anaenda Mwanza akaharibikiwa na roli lake huko polini chunya,huko na kule kutafuta sehemu ya watu walau apate hata maji,hamadi yule demu huyu hapa,hapo ilikuwa zaidi ya miaka 7 tangu aolewe. Yule demu alimsitiri jamaa usipime. Kuanzia msosi,maji ya kuoga,akamletea kigodoro. Mpaka kuja kutengenezwa gari wiki jamaa ana mwenyeji yule demu. Baadae akaja kunihadithia yaliyompata njiani. Fikiria angekomaa nae kumtukana yaani wangeishiana vibaya bado kwenye urafiki wao,si angeitiwa watu wamuue hapo polini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameeeeeeen
Huo ni umbumbu,mwanamke kama amekuacha au mmeachana kuna haja gani tena ya kumrudia kwa matusi? Huo ni ushamba. Naweza kusema toka nianze kukua sijawahi kukosa na mwanamke. Huwa mara zote hata mkichokana ilikuwa najitahidi kuachana nae kwa amani. Kuna leo na kesho

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesikia yna2? Kuna jamaa yangu zamani kidogo alitibuana vibaya na demu wake,ilikuwa mpaka wakionana hivi jamaa anataka kurusha ugomvi,nikamwambia nitakuwa siongozani na wewe mahala popote. Nikamwambia sana jinsi ya kuishi hapa duniani,baadae akanielewa,akaenda kumuomba samahani yule demu,yakaisha. Hapo ilikuwa MBEYA. Yule demu akapata bahati akaolewa huko chunya mbele njia ya kwenda Mwanza kupitia chunya. Sasa huyu jamaa yangu huwa anasafirigi na lori lake. Siku moja anaenda Mwanza akaharibikiwa na roli lake huko polini chunya,huko na kule kutafuta sehemu ya watu walau apate hata maji,hamadi yule demu huyu hapa,hapo ilikuwa zaidi ya miaka 7 tangu aolewe. Yule demu alimsitiri jamaa usipime. Kuanzia msosi,maji ya kuoga,akamletea kigodoro. Mpaka kuja kutengenezwa gari wiki jamaa ana mwenyeji yule demu. Baadae akaja kunihadithia yaliyompata njiani. Fikiria angekomaa nae kumtukana yaani wangeishiana vibaya bado kwenye urafiki wao,si angeitiwa watu wamuue hapo polini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama Sabrina unakumbuka niliwah kukuambia mifano km hii🙌... kila siku inatupasa kutenda mema hujui kesho nani atakusaidia...iko siku nitaleta mada za magazeti ya JITAMBUE..Ya marehem.Munga Tehenan...yaan mm najifunza kiugumu sana haya mambo...mie nakuambia huwez jua watoto wa Becky83 huko mbele wakaja saidiwa na watoto wa NN (Jus example)dunia hii ioneni tu hvhv..tutendeane mema!..
sasa huyo dreva asingeachana na huyo bidada kwa wema si angeumbuka tu?..
 
Hujawai, point yangu ni kwa wadada wanaopenda mazoea kupitiliza na wakaka wa humu matokeo yake ni haya kudhalilishana.

Hivi mtu zaidi ya kukutana kwenye thread mkachangia mada kistaarabu kuna mtu anaweza kukusema vibaya?
Oooh unadhani kusemana kunatokana na kwenye nyuzi mama?? Pm huko. Mimi nishatukanwa na wanaume wawili baada ya kuwakaushia pm. Wanajitumisha message pm wakija huku utasikia we singo maza nani akutake nyoko nyoko ila wakija pm wala siwajibu wanaandika mpaka wanashikwa na hasira. Mtu kukukosea heshima huku wala haihitaji wewe umkosee huwa wanaamkaga tu leo ngoja nikamvuruge Simara kwanini anaignore pm zangu

Hahahah..! Mimi ninacho wasifia singo maza huwa na akili sana baada ya kuzalishwa, hiyo akili wangekuwa nayo kabla ya kuzaa hakika wangekuwa best wives na best mamas.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama Sabrina unakumbuka niliwah kukuambia mifano km hii[emoji119]... kila siku inatupasa kutenda mema hujui kesho nani atakusaidia...iko siku nitaleta mada za magazeti ya JITAMBUE..Ya marehem.Munga Tehenan...yaan mm najifunza kiugumu sana haya mambo...mie nakuambia huwez jua watoto wa Becky83 huko mbele wakaja saidiwa na watoto wa NN (Jus example)dunia hii ioneni tu hvhv..tutendeane mema!..
sasa huyo dreva asingeachana na huyo bidada kwa wema si angeumbuka tu?..
Kabisa kabisa. Mimi kawaida sitakagi pressure ya moyo kabisa. Napenda sana kuishi kwa furaha. Kwa hiyo mimi mtu tukishindwana kabisa,awe Ke au Me,baada ya muda fulani nashuka mimi namuomba samahani. Na mara nyingi toka nimejifunza hiyo njia huwa inanipa amani sana. Ukimuomba samahani hata aliekukosea lakini hajagundua amekukosea,baada ya kumuomba samahani maumivu yote uliyokuwa nayo yanahamia kwake. Hiyo ndio siraha ninayoishi nayo na mke wangu. Vinginevyo tungekuwa tumeachana siku nyingi. Ksbb yeye halijui neno samahani. Huwa hapo tu ndio anashindwa kunielewa hapo tu namuachia mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom