ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,007
Hiyo ndo dawaaaaa toka yule mdada aliyezalilishwa nimeachaga kupiga picha ovyo hapa nina mwaka hata self snaaaNawaambiaga hata picha ya kupigia punyeto sikutumii ugua pole
Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...
Tuwasamehe tu
wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…
Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…
Especially wakiwa wadogo,
wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc
hii trauma inabaki kwenye ubongo,
ambayo ina result into hatred towards women,
Utawajua tu humu,
tabia ni ngumu kuficha,
Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..
he is probably twisted!
Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
Na siku wanaume wote humu watakapo simama kwenye uanaume wao JF MMU will never be the same againHasira ndo zinatokea hapo utaitwa Malaya wewe kahaba wewe kama vile ushawahi hata kumpa hopes za mtakulana. Halafu mbona kukataliwa kawaida tu. Sisi wenyewe mtaani tunakataliwa na wanaume na hatuwachukii
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani wanawake hawaumizwi na wanaume? Au nyie ni malaika?Muache kutuumiza aisee
Mimi mpaka leo wanawake wanajihisi vibaya.nawajibu shit wakiongelea niwaoe.
Sometime tuko na washkaji anakuja demu ananipa Hi sijibu .yani in short hua mnaacha a huge scar mioyoni mwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa compliment. Happy New Year to you too. Uwe mwaka wa mafanikio kwako.
Mara ya kwanza naona labda kaamka vibaya Mara ya Pili naona labda kachanganya kuniquote [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simpi mtu second chance[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani mara ya kwanza hapo hapo unakula block
You are not my status kabisaaa. I am far better and trillion times better.
Vizuri si umeona unavyoishi kwa amani? Na kukusaidia ukimuomba samahani,usifanye ya kijuu juu,muombe samahani kutoka moyoni mwako. Hiyo samahani si kwa ajili yake tu,kwa ajili yako pia,kuponya nafsi yako. Na ukimuomba achilia kweli. MUNGU huwa anaona na kutenda nakuhakikishia. Nakuambia wapo watu katika biashara biashara hivi mtu anaingia tamaa anakuzurumu pesa kubwa. Nimewahi kuteseka sana. Lakini nikamsamehe kabisa na nikamuomba MUNGU amsamehe labda ilikuwa ni njia yake na yeye,huwezi amini pigo alilompa kwa muda ambao mimi nilikuwa nimeshasahau na biashara zangu zinasonga vizuri ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman huu uzi ufungwe saa sita tukeshee naoooo lakin kasm kanguu mbn kanazimaa chajii uwii na hivi hapa namsubiria. Wanajf mmoja anitoe outVita hii tunaitaji Umoja wetu na siraha bora [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Next time unamwambia ndo mimi a.k.a COWBELL OUR MILK
Wewe bwana weee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nimeambiwa wewe ndo utakua wa kwanza kuanza kujibu pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaaaaaaah mama leo Usisahau kutoka out kupokea mkesha unywe heineken mbili nitalipaHasira ndo zinatokea hapo utaitwa Malaya wewe kahaba wewe kama vile ushawahi hata kumpa hopes za mtakulana. Halafu mbona kukataliwa kawaida tu. Sisi wenyewe mtaani tunakataliwa na wanaume na hatuwachukii
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bana we furahia tu maisha yenyewe mafupi.Sasa kumbe nifanyaje .....maisha ndo haya haya ya ajabu ajabu wacha nicheke tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka mbona wapo mabinti wengi ambao hawana watoto?? Kwanini ukajichoshe kwa sisi wenye watoto watatu au wanne? Mi nadhani mtu akidate mtu alienae amemridhia sielewi hayo maneno ya kusomesha watoto yanatoka wapi wakati ambao hawana watoto wapo wengi badoRebeca 83 si chuki ila vitu vingi tuongeavyo dhidi yenu mnajiletea nyie wenyewe.....we fikiria umezalishwa na mtu mwingine pengine una watoto 2 kila mtoto ana baba yake ya nini unipe mzigo mimi wa kuwasomesha na kutunza hao watoto wakati mimi si baba yao? Kwani ulipokuwa unazaa na hao wanaume ulikuwa unafikiria nini? Kama hawakutunzi wewe na wanao wapeleke Ustawi wa jamii, it is NOT my responsibility kusomesha watoto si wangu, I will only do so if I feel like it ila usinilazimishe na kufanya mimi ndiyo baba yao. Au mwanamke kakasirishwa na mashoga zake anakuja nyumbani na kumwambia jamaa yake nataka liwigi la milioni 2 ili ukawakomoe wanaokusema, seriously? Mnajidhalilisha wenyewe na mnaboa sana.
Haya nilipie kabisaEwaaaaaaaah mama leo Usisahau kutoka out kupokea mkesha unywe heineken mbili nitalipa
Sent using Jamii Forums mobile app
hv ww kinachokutuma kutongoza masingle mama ni nn?hakuna wadada ambao hawajazaa mtaan kwenuRebeca 83 si chuki ila vitu vingi tuongeavyo dhidi yenu mnajiletea nyie wenyewe.....we fikiria umezalishwa na mtu mwingine pengine una watoto 2 kila mtoto ana baba yake ya nini unipe mzigo mimi wa kuwasomesha na kutunza hao watoto wakati mimi si baba yao? Kwani ulipokuwa unazaa na hao wanaume ulikuwa unafikiria nini? Kama hawakutunzi wewe na wanao wapeleke Ustawi wa jamii, it is NOT my responsibility kusomesha watoto si wangu, I will only do so if I feel like it ila usinilazimishe na kufanya mimi ndiyo baba yao. Au mwanamke kakasirishwa na mashoga zake anakuja nyumbani na kumwambia jamaa yake nataka liwigi la milioni 2 ili ukawakomoe wanaokusema, seriously? Mnajidhalilisha wenyewe na mnaboa sana.
Jamani aliyaona wapi.
Hata kama unayo kweli uliumbwa hivyo sasa ujikate?
Na siku wanaume wote humu watakapo simama kwenye uanaume wao JF MMU will never be the same again