Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Unaleta mada halafu unashindwa kuvumilia characters tofauti, basi nawe utakuwa na tatizo.

Lazima tuvumiliane mapungufu yetu, unaleta mada halafu hutaki Eli achangie kisa tu una tatizo nae, huo ni utoto na kukosa ukomavu.

Tuvumiliane....
 
Simpi mtu second chance🤣🤣🤣🤣 yaani mara ya kwanza hapo hapo unakula block
Unavyo fanya ukatili huo akitoka hapo anaanzisha mada ya hasira wanawake wa jamiiforum wote nanii zao 🤣🤣🤣🤣
 
Sijawahi tongoza a single mother, never. Unanifananisha na nani? Haya niliyoandika ni lawama ama sikitiko za washikaji mitaani.
Mkuu pole sana sisi wanawake fahari yetu, furaha yetu kuitwa MAMA haijalishi utaandika vipi. Omba sana Mungu asikupe watoto wa kike Sawa.
 
Muache kutuumiza aisee
Mimi mpaka leo wanawake wanajihisi vibaya.nawajibu shit wakiongelea niwaoe.
Sometime tuko na washkaji anakuja demu ananipa Hi sijibu .yani in short hua mnaacha a huge scar mioyoni mwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kama mm mkuu yan siwapendi nikiwa na gari nawapigia chafu ya hewa chaf nafurahi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, nakutania tu bana. Ila kama wenyeji wanakula na wapo poa unakwama nini na wewe siule tu
Panya????? Aaah kwakweliii hapana [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mbuzi wote na ng'ombe mpaka ule panya???? Aseee hapana ....kuku wenyewe sina upenzi nao sembuse panya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom