Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Kwa mdada ambaye bado hajaolewa na hana mtoto;Ajitahidi sana kujitunza aepuke kuwa na mtoto kabla ya ndoa.Mivutano iliyomo humu kuhusu 'single mothers' inaakisi mitazamo ya watu wengi katika jamii.Kuepuka kufifisha ndoto yako hapo baadae, jitahidi kujitunza.

Siwachukii 'single mothers' ila huo ndio ukweli.Nawatakia mwaka mpya mwema.
 
Ndo hivyo!

Kuna wengine ni wagumu mno kuelewa.

Jitu toka mwaka jana linakukwoti tu na wewe umelichunia lakini hata halijistukii.

Nifanyeje sasa? Ignore ad infinitum.

Some fools are just not worth expending even an ounce of energy on them.

So they can say whatever they want about me, but that’s just online.

Face to face no one has the balls to talk shit to my face.

Naendelea kuzitwanga Heineken.

Deuces.
Usinywe Heineken ni za wanawake real men wanakunywa whiskey.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmmh tuliwahi kwaruzana wapi wewe?
mimi huwa naona unavyozodoa wengine, hiyo tabia unayo sana tu hata kama sio mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemzodoa nani!may be labda unambie?[emoji1][emoji28][emoji28]!!!!nani nimemzodoa nambie

Kama hatujakwaruzana hayo yote yanakujaje unavosema sijui niishie hapa sijui pale nna machafu yangu wapii!!!!!

Sio Mara ya kwanza kunikoti kishari mwanzo nilikua naona normal but I think u have extra things with me!

Nambie kama una fundo kaka...maana dunia duara yaweza kua nimekukwazaa...washindwa sema wabaki kunisonta..

Hakuna mdada nimegombana nae humu!chit chat au MMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mdada ambaye bado hajaolewa na hana mtoto;Ajitahidi sana kujitunza aepuke kuwa na mtoto kabla ya ndoa.Mivutano iliyomo humu kuhusu 'single mothers' inaakisi mitazamo ya watu wengi katika jamii.Kuepuka kufifisha ndoto yako hapo baadae, jitahidi kujitunza.

Siwachukii 'single mothers' ila huo ndio ukweli.Nawatakia mwaka mpya mwema.
Maneno ya jf na ya mtaani tofauti. Single mazas wanapendwa Kama kawa jamani, asiye na bwana kataka yeye mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mdada ambaye bado hajaolewa na hana mtoto;Ajitahidi sana kujitunza aepuke kuwa na mtoto kabla ya ndoa.Mivutano iliyomo humu kuhusu 'single mothers' inaakisi mitazamo ya watu wengi katika jamii.Kuepuka kufifisha ndoto yako hapo baadae, jitahidi kujitunza.

Siwachukii 'single mothers' ila huo ndio ukweli.Nawatakia mwaka mpya mwema.

msituchoshe...wengine wana uwezo wao.kbs mbn.mnateseka? 🔥
 
UZI WA GUDUME UMEACHA ATHARI KUBWA SANA. WANAWAKE ALIOWATAJA BADO WANAWEWESEKA.😂😂😂😂😂
Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana - JamiiForums

Wamejaribu kuunda hata Ushirika wa kutiana Moyo. Mbona Bro alisema wapo wachache wenye akili. Kwa nini wengi wamekasirika. Coalition of the single mothers and unmarried women.😂😂😂

Then yeye kaendelea na maisha yake. Wengi wanakuja kujisafisha.sikutegemea ule uzi utawagusa watu hivi. Mimi nmekuwa nikilalamika humu wanawake wengi hawana akili,makahaba, wanajiuza nikasemwa mimi mgeni sijui nini.amesema mtu mzoefu nmeona moto wake.

Wanawake wenye akili wamo humu wa kuhesabu sana. Na wanaume pia wenye akili wapo. Mimi sometime yes sometime no.😂😂😂 Nahitaji povu nikafulie.
 
Huyu kaka hajaanza Leo dear!simjui hanijui!kama ananijua kaja na I'd yake nyingine ndo anataka antoe kafara ila atakachoongea ntamjua kua ni nani!maana wakak wa jf niliokutana nae hawazidi wanne halafu wastaarabu huwakuti kwenye upuuzo hata siku1...!!!Huyu tuuuu!!!ananiandama balaaa!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

My dear kuna katabia humu ka watu kupeana story huko pm,halafu mmoja anajitoa muhanga

Binafsi nimeshashambuliwa humu na ID ambazo hata sizifahamu,
Muweke kwenye Ignored list

Endelea na mambo yako, huna haja ya kuumiza kichwa na vitu ambavyo havina mchango katika maisha yako
Stay positive
Remain calm dear [emoji8][emoji8]
 
Ni kwa sababu ni online tu.

Nakuhakikishia siku itapotokea tumekutana ana kwa ana na baadhi ya watu mtasikia tu.

That’s a guarantee.
Sidhan kam itawezekan ila mkuu mimi kuna vitu najiuliza umu sipati majibu

Izi chuki baadhi ya watu umu ndani na ilhal hawajuan zimetoka wapi?

mbona mimi ata mtu anitukanie mama angu umu ndan ila siwez kuwa na chuki nae ata iweje yaan sijui afany kitu gan ila najua hakipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom