Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Kweli kabisa, kuoa mwanamke single mother ni sawa na kununua kiwanja bila kupewa hati, mwanaume rijali mwenye akili timamu hawezi kuoa single mother.hata wewe mwenyewe huwezi kukubali mtoto wako wa kiume akioa single mother

Sent using Jamii Forums mobile app
upendo ni majani, huota popote…. na respect sana single mothers wote… najua ugumu na maswaiba wanayopitia.
kuna wengine walishindwa ndoa kwa sababu mbalimbali ikiwemo dini, kabila , misimamo ya wazazi, matatizo ya wenza wao nk. respect them bro
 
😂😂😂😂jaman mashoga zangu wote wa jf nataman wahudhurie...heheheheh..happy new yr mzee baba...Mungu akutngulie usitende dhambi kubwa kubwa...ukanipende had mwisho wa dahari...tupendne tu tupeane maraha kama yote...uendako nitaandamana nawe ..nakiri kbs mie natoka usukumani naolewa na wapare😍😍😍🔥🔥🔥🔥
xaw aila yuleanathungu kamarekaninathi youraya.
 
xaw aila yuleanathungu kamarekaninathi youraya.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂uraya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wachaga vithethe vimewaharibu sana jaman😂😂😂...unamuhonea wivu Tundu??
 
jamani my dada kwa nini umefukua makaburi?lol
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimejikuta tu nimekutana nao kwenye "similar threads" kichwa cha habari kikanivuta, na bahati nzuri kufungua nikakuta muanzilishi ni moja ya vichwa vya humu ndani basi nikavutiwa kuusoma.
 
Muache kutuumiza aisee
Mimi mpaka leo wanawake wanajihisi vibaya.nawajibu shit wakiongelea niwaoe.
Sometime tuko na washkaji anakuja demu ananipa Hi sijibu .yani in short hua mnaacha a huge scar mioyoni mwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Like you dont do the same to women. Hao unaowaumiza haukufikiria wataenda kuumiza wengine?
Kulimbikiza chuki moyoni kunakuumiza zaidi wewe mwenyewe.
 
life's so fuckin' twisted.. zamani bitches used to even go out of this world just to make sure she keeps her man to her self... lakini siku hizi its men who even drinks unspeakable medicine just to make sure he keeps his woman for himself... shkamoo wanawake...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimejikuta tu nimekutana nao kwenye "similar threads" kichwa cha habari kikanivuta, na bahati nzuri kufungua nikakuta muanzilishi ni moja ya vichwa vya humu ndani basi nikavutiwa kuusoma.

wacha iende chini,ikajifunge yenyewe lol,i am not proud of this at all my dear,lol..especially uko katikati ya thread,😄😄😄
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom