Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Just be neutral
Na kama kuna tukio limekukuta kuhusu mwanamke just try to present it in a positive way
Unapresent as if wanawake wote ni mashetan ,hawafai na ni wakutumika na kuachwa tu,unakuwa unagusa wengi.vinginevyo uko on the rite track

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano ww mwwnyewe...Uzi wa guDume , ungeuelezea vipi ?? Kwa muktadha wa mtoa mada na walengwa, na ukizingatia naww umeshudia yaivo.

Nakwann watu hawapendi kuambiwa ukweli??? Yaaan ukiongea ukweli basi mtu atautafasir ktk mazingira ya kumponda..kwann hii????

Mfano .. Ktk maisha yaumu, ikagundulika kuna demu, kagonganisha wanaume watatu na kawapanga ..
Huyi demu , Utamuelezea vipi????

Mfano..kuna dem analalamikiwa najaamaa yake kua analiwa Tigo nje .... Huyu demu utamuelezea vipi????

Mi nahis kuna siku mtaelewa kwann nakosaga maneno ya kutumia ktk case kama izo.

Anyway , nitakua nakua katikati .ila penye ukweli nitaeleza kikubwa kinachosumbua wengi hata kutonielewa ni Uchaguz wa maneno .
 
A Song for Mama

Boyz II Men

You taught me everything
Everything you've given me
I'll always keep it inside
You're the driving force in my life, yeah

There isn't anything
Or anyone that I could be
And it just wouldn't feel right
If I didn't have you by my side

You were there for me to love and care for me
When skies were gray
Whenever I was down
You were always there to comfort me

And no one else can be
What you have been to me you will always be
You will always be the girl
In my life for all times

Mama, Mama you know I love you
(You know I love you)
Mama, Mama you're the queen of my heart
Your love is like tears from the stars, yes it is
Mama I just want you to know lovin' you is like food to my soul
Yes it is, yes it is, oh, yes it is, yes it is, yes it is oh

You're always there for me
Have always been around for me even when I was bad
You showed me right from my wrong
Yes you did

And you took up for me
When everyone was downin' me
You always did understand
You gave me strength to go on

There were so many times
Looking back when I was so afraid
And then you'd come to me and say to me
I can face anything

And no one else can do
What you have done for me
You'll always be, you will always be
The girl in my life, ooh oh

Mama, Mama you know I love you
(You know I love you, you know I love you)
Mama, Mama you're the queen of my heart, (You are)
Your love is like tears from the stars
(Your love is like tears from the stars)
Mama I just want you to know (Mama I just want you to know)
Lovin' you is like food to my soul

Never gonna go a day without you
Fills me up just thinkin' about you
I'll never go a day without my mama

Mama, Mama you know I love you
Mama, Mama you're the queen of my heart
Your love is like tears from the stars
(Your love is like tears from the stars)
Mama I just want you to know lovin' you is like food to my soul

Lovin' you is like food to my soul, oh yeah
You are the food to my soul, yes you are

Sent using Jamii Forums mobile app

Wapare bwana😊😊..siku hizi mmekuja juu kweli kwenye mahaba😁😁..!unajua kuimba mkuu? i hope u do!
 
Mfano ww mwwnyewe...Uzi wa guDume , ungeuelezea vipi ?? Kwa muktadha wa mtoa mada na walengwa, na ukizingatia naww umeshudia yaivo.

Nakwann watu hawapendi kuambiwa ukweli??? Yaaan ukiongea ukweli basi mtu atautafasir ktk mazingira ya kumponda..kwann hii????

Mfano .. Ktk maisha yaumu, ikagundulika kuna demu, kagonganisha wanaume watatu na kawapanga ..
Huyi demu , Utamuelezea vipi????

Mfano..kuna dem analalamikiwa najaamaa yake kua analiwa Tigo nje .... Huyu demu utamuelezea vipi????

Mi nahis kuna siku mtaelewa kwann nakosaga maneno ya kutumia ktk case kama izo.

Anyway , nitakua nakua katikati .ila penye ukweli nitaeleza kikubwa kinachosumbua wengi hata kutonielewa ni Uchaguz wa maneno .
Halafu la ajabu sijauona huo uzi wa gudume
Sema sie wanawake na mabinti hatupend kutolewa siri zetu,hata kama ni kweli tunastahil kustahiwa utu wetu
Isitoshe hakuna aliyekamilika si wakiume wala wa kike
Kila mmoja ana haki na kustiriwa heshima yake ,ndio ubinaadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nina sms elf 27 vipi
Daaaa yani nashindwa hata niseme nn, lakin kiukweli wanaume wanalia sana kwa wasichana,
Ubabe wao ni humu tu kwenye fake ID, uliwakuta wanalilia mapenz utacheka ufe.

Kwani nyie mabinti hamjui wanavokujaga kuwalilia kisa kutaka mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20181231-102139.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom