nadhani ndugu yangu huna budi kwenda kwenye taasisi za juu za elimu za serikali nakupa njia nyepesi ya kufanya utafiti " anzia UDSM uliza namba ya waislamu walioingia mwaka fulani na waliomaliza (utatoa machozi kama una moyo wa imani na ndugu zako) "na sababu zao fuatilia kwa makini uone. nakupa mfano baadhi ya sababu, mtu ana GPA 4.3 ana B+ pamoja na A kaitka kozi zake {kisha anasap hatoki, anakeri, hatoki kisha anatemeshwa chuo} hizi akili za kozi nyingine ni za nani? mwingine aah huyu aliwahi kusoma chuo fulani hakutwambia wakati wa udahili wake (wakati huo yuko mwaka wa pili) ndo wanaongelea sababu ambazo hazina ushahidi na mpaka wanamtimua. nayaongea haya nimeyashuhudia kwa macho. nakupa kali (aliingia muislam mmoja ndani ya ofisi kuomba kusainiwa fomu yake akiwa amevaa kanzu nyeupe akaambiwa kavue hilo gauni ndo uje hapa sio msikitini, na akakataa kuhudumiwa) akatoka, akampa mwenzie fomu akaenda kumsainia badala
bwana nimengi mno: fikiria sababu sifuatazo 1. kwanini kila siku kwenye fomu za usajili tunaandika dini.(kuna huduma gani ambazo watu wanapewa vyuoni kwa kufuata dini zao? kama si kutaka kuchamvua wako wapi kina hassan na hussein?)
2. kwa nini tusifanye mitihani yote ya vyuo kwa namba tu ? na majina yakatakiwa siku za mwisho kabisa?
watu tuangalie shule hizo wanazosema za waislamu nani msimamizi? (bakwata ambayo ni serikali ileile ya mfumo kristo, na ushahidi kanisa lilifadhili vikao vyake kwa uongozi wa mrema na kutunga katiba yake mwaka 1992.) hizo shule kuna mfumo mzima wa kuziharibu na zilikwisha haribiwa na kuna mawakala kila siku wanaziharibu. mfano nenda kinindoni muslim (academic master) ni dini gani? je ana maslahi na waislamu huyu? je performance itakua nzuri kama sehem nyeti kakaa mvurugaji mkuu? na jee waislamu wana sauti juu ya hizi shule. pima ufaulu kwa shule za kiislamu ambazo zinajitegemea kama katoro kule bukoba na nyinginezo utaona tofauti. asante na usiku mwema
Popote pale ukisikiliza ibaada au mahubiri ya waislamu haiwezi kuisha bila kutukana au kulaani wakristu. Cha ajabu sijawahi kusikia Askofu, mchungaji au padri akaacha kuhubiri kuhusu Biblia akaanza kuwasema Waislamu. Ni wao tu wanaonewa kila siku. Dini yao inasisitiza waumini wasome madrasa na waachane na elimu dunia na ukifanya research utagundua waumini wengi wamekomea la saba. wakristu wanahimiza Elimu dunia, wanajenga academy, hospitali. Nikakumbuka maneno ya rafiki yangu Muislamu tokea Iraq alishaniambia Uislamu umekumbwa na wrong interpreters, akasema angalia sehemu zote duniani zenye Uislamu kuna vita, Pakistani, indonesia, somalia, sudan.

tatizo mmezoea kulia lia kama watoto wa kike! na ndivyo imani yenu ilivyo haiwezi kusimama bila kukamata dola kwa kuwa ni imani ya kutunga.
Hapa kuna agenda ya chuki za dini dhidi ya Waislamu na Redio yao.
Redio ya wafuga majini inaongea kijini jini tu
Popote pale ukisikiliza ibaada au mahubiri ya waislamu haiwezi kuisha bila kutukana au kulaani wakristu. Cha ajabu sijawahi kusikia Askofu, mchungaji au padri akaacha kuhubiri kuhusu Biblia akaanza kuwasema Waislamu. Ni wao tu wanaonewa kila siku. Dini yao inasisitiza waumini wasome madrasa na waachane na elimu dunia na ukifanya research utagundua waumini wengi wamekomea la saba. wakristu wanahimiza Elimu dunia, wanajenga academy, hospitali.
Nikakumbuka maneno ya rafiki yangu Muislamu tokea Iraq alishaniambia Uislamu umekumbwa na wrong interpreters, akasema angalia sehemu zote duniani zenye Uislamu kuna vita, Pakistani, indonesia, somalia, sudan........urusi kote!. Hua najiuliza mashekhe wanashindwa nini kuchambua Koran mpk washinde wanajadili Ukristu?
Au kwa sababu waamini wao wamekatazwa kuhubiri dini isipokua kwa kutumia kiarabu? nahisi kuna ufinyu kwa tafakali hapa maana mtu anaenda msikitini kumsikiliza shekhe atakavyo sema maana si kila mtu anajua kiarabu. Shekhe akiamua kuwaingiza chaka waumini wote wazima waziama wanaingia. Halafu kwanini mtu akiwa na majini lazima aongee Kiarabu japo hakijui?..Majini ni waarabu? Kuna uhusiano gani kati ya majini na uislamu?

mbona waislamu mnashindwa kutumia akili kufanya mambo? Mmekaakaa kimajungu kama wanawake wa uswahilini na kulipiza visasi.
mbona hamlizungumzii la memorandum of understanding 1992 lowasa akiwakilisha serikali walisaini mkataba na maaskofu kugawana fedha za serikali huku wakiwabagua waislamu? au na nyie mfumo

Wasomi wa Kikiristo wa Tanzania waliopo Serikalini Elimu zao wanazojitapa nazo ni sawa sawa na punda aliobeba mizigo ya vitabu!

Elimu zao zimewasaidia kufanya UFISADI na kupora mali za Watanzania tu