redio iman ni moja ya redio za kipumbavu-na jaribu kupita mtaani kwenye vijiwe vya kahawa uangalie hali za hao wasiklizaji wake zipoje-ndipo utajua inasikilzwa na group gani kwenye jamii

Waislam hebu acheni kutumiwa' hv mnaichukia Chadema kwa kosa lipi? Mmepandikizwa chuki na ccm dhidi ya Chadema ili msijadili maovu mliofanyiwa na ccm.Hebu ona mnamtaja Nyerere kuwa kawahujumu ni ccm,Mnamtaja Mkapa kawahujumu ni ccm,mmekwepa kumlaumu Mwinyi kisa mwislam mwenzenu ila hajafanya lolote kwenu maana msingelalamika hv huyo naye ni ccm,hamjamtaja Kikwete kisa ni muislam mwenzenu wakati yeye ndiye aliye waahidi Mahakama ya Kadhi na kujiunga na OIC yote hajayatimiza na yeye ni ccm.MAKOSA YA CHADEMA YAKO WAPI? Mnadanganywa na viongozi wenu wanaotumiwa na ccm ili muondoke kwenye mjadala wa msingi wa kuibana ccm kuhusiana na maisha magumu ya nchi hii na yale yote waliyo waahidi na hawajayatimiza kwenu.FIKIRIENI MARA SANA NDUGU ZETU,Kumbukeni dini zenyewe zoote asili yake siyo Afrika kwanini tugombane?!

redio iman ni moja ya redio za kipumbavu-na jaribu kupita mtaani kwenye vijiwe vya kahawa uangalie hali za hao wasiklizaji wake zipoje-ndipo utajua inasikilzwa na group gani kwenye jamii
Kwa taarifa RADIO IMAAN inasikika nchi nzima kwa sasa, hivyo inawasikilizaji wengi. Pia wewe u-mtu wa ajabu, maaskofu wakisema, wakitukanä wakichochea ni sawa LAKINI MASHEHE WAKISEMA NI KOSA. Nami nasema maaskofu mnatupeleka kubaya. Msichanganye siasa na dini.

Ila waislam na nyie mmezidi nasikia eti huwa mnaamini Majini ndo maana huwa mnauwa watu.kwa taarifa yenu hamtuwezi Wakristo,WAISLAM WOTE DUNIANI MNAPIGWA NA NCHI MOJA TU "ISRAELI" kama mnabisha jaribuni kuigusa ndo mtajua YESU NI MUNGU .nendeni shule acheni umbumbu wa kunawanawa wakati tumbo mna kinyesi.

Katika kuthibitisha kuwa hawa jamaa hawana nia ya that ya kuleta maendeleo hebu jaribu kuchanganua maeneo ya tanzania yenye waislam wengi na na yenye wakristo wengi na uone ni sehemu ipi yenye maendeleo..

vile vile jaribu kufuatilia maeneo ambayo uislam uliwahi kufika mapema na maeneo ambayo ukridto ulifika mapema and then compare where is more develope? Jaman hawa jamaa ni wazee wa porojo tu ...ukifanya uchambuzi utathibitisha tu labda kama wewe ni kichaaa.
Hii redio inapendwa na waislam nchi nzima!Kama kuna watanzania wanaosikiliza hiyo redio basi hawazidi mia tano. Wengi wao wapo tandale, manzese, tandika, temeke, gongolamboto na mbagala.

Katika kuthibitisha kuwa hawa jamaa hawana nia ya that ya kuleta maendeleo hebu jaribu kuchanganua maeneo ya tanzania yenye waislam wengi na na yenye wakristo wengi na uone ni sehemu ipi yenye maendeleo..

vile vile jaribu kufuatilia maeneo ambayo uislam uliwahi kufika mapema na maeneo ambayo ukridto ulifika mapema and then compare where is more develope? Jaman hawa jamaa ni wazee wa porojo tu ...ukifanya uchambuzi utathibitisha tu labda kama wewe ni kichaaa.

mzee huwezi kubisha juu ya udini wa chadema cz hao wanaolalamika kuwa chadema ni chama cha kanisa wanaushahidi mzee na hata mimi nilishausoma na baadhi ya sehem za waraka huo mapadre wanawasisitiza waumini wao kuwa chama chao ni CHADEMA na mipango yote imekamilika juu ya nini kitafata baada ya chadema kuingia madarakani..........na hilo naomba msahau
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.
Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari – magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.
Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.
Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa, bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!
Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.
Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa "intelijensia" ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani
Wana JF naomba kuwakilisha