Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Ila waislam na nyie mmezidi nasikia eti huwa mnaamini Majini ndo maana huwa mnauwa watu.kwa taarifa yenu hamtuwezi Wakristo,WAISLAM WOTE DUNIANI MNAPIGWA NA NCHI MOJA TU "ISRAELI" kama mnabisha jaribuni kuigusa ndo mtajua YESU NI MUNGU .nendeni shule acheni umbumbu wa kunawanawa wakati tumbo mna kinyesi.
Wewe ndio debe tupu kabisa wewe JF, kwako ni sehemu ya mapambano dhidi ya Uislam

Tatatizo lipo wapi mnasema Radio Iman inasikilizwa na watu wachache sana tena wa Tandale, Temeke na wanywa kahawa na tende!
Kama ndio hivyo kwa nini mnailalamikia kiasi hicho thread inazidi kuwa ndefu kwa karadio kamoja tu tena kapo Morogoro, kweli hiyo Radio Iman ni kiboko

Mkuu hii station ilisababisha nivunje radio yangu ndogo kwa hasira, imejaa uchonganishi na matamshi ya uchochezi sana!

maskini hoja zako za kisenge sijui kwa vile mnaruhusiwa kwenda kanisani na janaba ndo maana akili zako za janabajanaba pumbaaf!

matusi ni dalili ya kufilisika kimawazo...kuwa makin au ndo mnavyofundishwa hivyo?

Wandugu leo saa 8:30 hadi 9:00 nimejaribu kutune hi redio yenye mrengo wa dini ya kiislamu lakini mambo niliyoyasikia toka wa watangazaji na wasikilizaji wanaopiga cm kuchangia mada kuu "VIJANA NA SIASA ZA TANZANIA" ni ngumu kuamia kama hawa watu ni watanzania au wasomali?

wanadiliki kusema kwamba eti vita ya tz vs uganda (1978) ilikuwa ni hira za Nyerere kumtoa muislamu Idd Amin Dada na kumweka mkristo Milton Obote.! eti rushwa na ubadhirifu unaofanyika sasa ni matokeo ya utawala mbaya wa Nyerere na Mkapa

kama huamini tembelea google fungua guardian angle by arnold bisase soma kitabu kizima umuone nyere
http://m.facebook.com

ww ndio chizi, kwa nini maeneo kama Tabora na Kigoma yako nyuma kimaendeleo? kwakua yanakaliwa na waislamu wengi na huu ndio mfumo kristo ulioandaliwa na nyerere (
https://www.jamiiforums.com/clienta...lletin&bsize=all&btype=1&bpos=default&ver=2.0

Umaskini wa hayo maeneo unatokana na uvivu waislam, hawataki shule kaz ni kwenda madrasa tuu,kunywa kahawa na kucheza bao kutwa nzima..
acheni uvivu wa kufikiri jitahidini kufikiria maendeleo yenu na sio kulalama hovyo hovyo.

ndg zangu nawashauri tujadili mambo yenye tija kwa ajili yetu kama watanzania, mambo ya udini

yatatuharibu na hatutakaa tuifurahie nchi yetu, hebu tujadili namna ya kuijenga nchi yetu

iliyoliwa na mafisadi ccm na majambazi kama akina el, la, jk, ac na wengineo na sio udini tutaishia

kubaya. be great thinkers men! jf si ya udini ni maslahi ya kitaifa tu

war.jpg mnataka tufike huku????

mh jamani ebu acheni mada na mijadala ya kidini tuchagueni mashehe walioenda shule muone kama watakaa kudai madia ambayo yako nje ya uwezo wa serikali...mbona chuo kikuu cha morogoro kilipotolewa watu wamekaa kimya hadi leo?swala hapo mujipange hela na sadaka zinazopatikana kwa mfano kwenye mfungo wa ramadhani mjengee mashule na vyuo na sio kula,mfano bakhresa ile sadaka anayoitoa kwa kuwapa watu misosi inaweza kujenga shule kwa hesabu ya haraka haraka inatosha kabisa kusimamisha shule.pia itawapa watu akili ya kutafuta futari na sio kungoja msaada.wakristo wanafundishwa kutoa na kuafanya harambee ya kujenga vitu mbali mbali halfu wakijenga mnataka serikali ichukue mtumie wote..sawa haina shida bado mnalallamika mnafelishwa..asa mtafika hadi baraza la mitihani kuwa namba za wanafunzi waislam zinajulikana ndio maana wanafelishwa.jamani lawama zinakufanya usione opportunity na unabaki kifungoni ukilalama wakati watu wanasonga mbeleee.

Sisi waislamu tuna akili hao mashehe ni wapuuzi na wanapaswa kupuuzwa na sisi waislamu wote.Tusitetee ujinga wa watu wachache wasiofikirisha bongo zao na kukalia kupalilia hoja za udini.

ww umevamia dini waislamu ni umma bora hufanya tafiti kwanza

Umaskini wa hayo maeneo unatokana na uvivu waislam, hawataki shule kaz ni kwenda madrasa tuu,kunywa kahawa na kucheza bao kutwa nzima..
acheni uvivu wa kufikiri jitahidini kufikiria maendeleo yenu na sio kulalama hovyo hovyo.
Mkuu, utakubaliana na mimi ufisadi uliopo Tanzania na uporaji wa mali za Umma umefanywa na wasomi wa Kikiristo!
Na huu umasikini wa Tanzania ni zao la wasomi wa Kikiristo sababu wao ndio wanashikilia sekta zote muhimu za serikali pamoja na wizara zote
Unaweza kuniambia usomi wenu mnaojitapa nao umelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye nchi 20 dunia kwa umasikini wa kutupwa!

Umaskini wa hayo maeneo unatokana na uvivu waislam, hawataki shule kaz ni kwenda madrasa tuu,kunywa kahawa na kucheza bao kutwa nzima..
acheni uvivu wa kufikiri jitahidini kufikiria maendeleo yenu na sio kulalama hovyo hovyo.

Mimi naona tatizo la wenzetu ni kule kusoma Sunday school ambayo mara zote wanakatazwa kudadisi, kuuliza au hata kupewa ufafanuzi wa mambo fulani fulani. Wameelekezwa wasome katekism na Chuo kidogo cha Sala ambavyo vimefafanuliwa na hawaruhusiwi kusoma bible sababu watakuwa hawana roho mtakatifu.

Suala kama hili linahitaji mtu apambanue na kudadisi ndio maana umepewa mpaka link uone JKN alivyowafisidi waTz kwa sababu zake binafsi.

. Tembelea hii link kisha ulete hoja. Achana na mafunzo yako ya sunday school

google fungua guardian angle by arnold bisase soma kitabu kizima umuone nyere
Facebook

Katika kuthibitisha kuwa hawa jamaa hawana nia ya that ya kuleta maendeleo hebu jaribu kuchanganua maeneo ya tanzania yenye waislam wengi na na yenye wakristo wengi na uone ni sehemu ipi yenye maendeleo..
vile vile jaribu kufuatilia maeneo ambayo uislam uliwahi kufika mapema na maeneo ambayo ukridto ulifika mapema and then compare where is more develope? Jaman hawa jamaa ni wazee wa porojo tu ...ukifanya uchambuzi utathibitisha tu labda kama wewe ni kichaaa.

Vile vile jaribu kuangalia MAFISADI wengi vile vile utaona ni wakristo. Hao ndio wanaorudisha nyuma maendeleo ya nchi yenu kwa kula nguvu na kodo za watanzania wengi na kuifanya nchi yenu kuwa miongoni mwa nchi masikini sana Duniyani

Dawa ya mjinga ni kumpuuza, sasa cjui kwa nini mnapenda ku-pay attention kwa viredio kama hivi. Vikijua mnavisikiliza ndo vinazidisha mijadala isiyokuwa nakichwa wala miguu. Jamani wapuuzeeni watu hawa.

hivi ushawai kusikia nchi yoyote duniani ikifanya jambo,au kuonea huruma watu flani ili walete uwiano sawa baina ya jamii husika-Hivi kwenye familia yenu wote mpo sawa kiuchumi,elimu n.k?na kama hampo sawa wazazi/wanajamii wako wamechukua hatua gani kuweka uwiano sawa baina ya nyie wanandugu?KWA MIMI NINACHOFAHAMU,JAMII KAMWE HAIWEZI KUWA NA UWIANO SAWA-NDIO MAANA SOCIALISM IMESHINDWA NA KUJIKUTA IMEANGUKA-KAMWE JAMII YOYOTE ILE HAIWEZI KUWA SAWA-HATA USAIDIE KUBALANCE-SISHA VIPI-AT THE END-UPANDE MMOJA LAZIMA UTAKUWA UMEMZID MWENZAKE-CHA KUFANYA NI KILA MTU KUPIGANIA MAISHA YAKE KWA NAFASI ALIYONAYO ILI AREKEBISHE MAMBO YAKE MWENYEWE-KULIKO KUACHA KUFANYA KAZI NA KULALAMIKA

Hivi hata wewe kwa kauli hizi unajinasibu kabisaaaa kuwa wewe ni Great thinker?

Je unajuwa kuna Viti maalum huko Tanzania kwa ajili ya akina mama .Je hizi sio huruma kwa akina mama ili nao waingie kwa wingi katika vyombo vya maamuzi na kutunga sheria? Je ulijui hilo.

Vile vile ni lazima ufahamu Tanganyika nje ya muungano ni lazima yatatokea ya Sudan kwani hata huko mambo yalianza hivyo hivo kwa dini moja kujiona bora kuliko nyingine na matokeo kuigawa nchi.

Jaribu kufikiri kabla kuandika.

Wakristo lazima watambue nchi yenu inafuata Rules of law. kama wanahisi kuwa radio hiyo imefanya uchochezi basi milango ipo wazi kushitaki kwenye vyombo husika ikiwemo TCRA.

Fuata Sheria na sio kulalama na kusubiri uhurumiwe.

watanzania wa dini zote tusiwe wavivu wa kutafiti mambo waislamu hawawezi kuwa na maendeleo kwa sababu nchi inaongozwa ki mfumo kristo kwa mfano rejeeni memorandum of understanding mkataba uliotiwa saini kule arusha kati ya serikali na maaskofu na ulikuwa na vipengele vingi moja: serikali itowe fedha katika bajeti ya serikali ili kusaidia makanisa.je hapa hamuoni huu ubaguzi

Hao ni masheikh uchwara wackupe taabu,cc waislaum tulioelimika hatuwezi kudanganywa na hao wapuuzi

Umenena hapo, cha msingi ni kuwapa kisogo tu waache waongee yao na ukweli utajulikana tu, cha msingi mtu anapotaka shari na wewe alafu we ukawa mtulivu anakosa cha kufanya zaidi ya kujitapatapa. Mimi sioni haja yoyote ya kuzuia mijadala hii, ngoja ijadiliwe mpaka mwisho watakosa cha kuongea zaidi ya kurudia mijadala tu. Ni kikundi fulani cha watu ambao wanataka matakwa yao kama Boka Haram kule Nigeria. At the end of the day itakoma na mambo yataendelea kama kawaida.

Popote pale ukisikiliza ibaada au mahubiri ya waislamu haiwezi kuisha bila kutukana au kulaani wakristu. Cha ajabu sijawahi kusikia Askofu, mchungaji au padri akaacha kuhubiri kuhusu Biblia akaanza kuwasema Waislamu. Ni wao tu wanaonewa kila siku. Dini yao inasisitiza waumini wasome madrasa na waachane na elimu dunia na ukifanya research utagundua waumini wengi wamekomea la saba. wakristu wanahimiza Elimu dunia, wanajenga academy, hospitali.

Nikakumbuka maneno ya rafiki yangu Muislamu tokea Iraq alishaniambia Uislamu umekumbwa na wrong interpreters, akasema angalia sehemu zote duniani zenye Uislamu kuna vita, Pakistani, indonesia, somalia, sudan........urusi kote!. Hua najiuliza mashekhe wanashindwa nini kuchambua Koran mpk washinde wanajadili Ukristu?

Au kwa sababu waamini wao wamekatazwa kuhubiri dini isipokua kwa kutumia kiarabu? nahisi kuna ufinyu kwa tafakali hapa maana mtu anaenda msikitini kumsikiliza shekhe atakavyo sema maana si kila mtu anajua kiarabu. Shekhe akiamua kuwaingiza chaka waumini wote wazima waziama wanaingia. Halafu kwanini mtu akiwa na majini lazima aongee Kiarabu japo hakijui?..Majini ni waarabu? Kuna uhusiano gani kati ya majini na uislamu?

Wewe Nish hapo juu na wengine woote mnaosema nchi hii inaendeshwa na mfumo kristu, hapa mnamaanisha kua hata Raisi wenu Mwinyi na Kikwete ni wakristu. Basi jiungeni na Al-qaueda au Al -Shaabab tuwe km somalia. Na sishangai haya mnayoyasema maana yanahubiriwa msikitini, mawazo mgando kabisa nayi mwayabeba mazima mazima. Eti washitakiwe, think big men, wakristu wastaarabu bwana. Hawajibizani na waislamu sababu ni sawa na kumkimbiza kichaa aliyeiba nguo zako!

Dawa ya mjinga ni kumpuuza, sasa cjui kwa nini mnapenda ku-pay attention kwa viredio kama hivi. Vikijua mnavisikiliza ndo vinazidisha mijadala isiyokuwa nakichwa wala miguu. Jamani wapuuzeeni watu hawa.

Radio Imaan imetufungua macho wakupuuzwa ni ww mvivu wa kuchambua mambo

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom