Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Nadhani hii question ingefatiliwa sawa sawa, hao watu waitwe na discussion ziendelee kati ya serikali na hao watu. Kwa upande mwengine waislam watoe maoni yao kuhusu hii mada, isije ikaonekana wanakubaliana na yalio semwa on their behalf. MAuwaji ya Rwanda yalianzia radio...
 
Nani wa kuwagusa na raisi ni muislamu mwenzao,wanafanya kila wanachotaka maana wanaelekezwa namna hiyo na raisi,"shehe" wao!
Unadhani polisi hawapo morogoro wafanye intelijensia zao hizo?

Hapo unakosea. Lengo la serikali ya CCM ni kutaka huo mjadala uhalalike kwa vile JK ni Muislamu. Nakwambia hata Mizengo Pinda anashabikia huu mjadala ili kuzima nguvu za Maaskofu kuikemea serikali. Ni mradi wa CCM huu, na wala si wa JK kama Raisi. Ni CCM wameishiwa mbinu za kuwavuruga CHADEMA ndo wamekimbilia Radio Imani ili kudivert attention za Watanzania. Huu up[upu unashabikiwa na kina Mkapa, Mwinyi, na wote waliofaidika na uoza wa CCM kujinufaisha maisgha binafsi. Sasa, wanataka Wakristo waache kukemea serikali. Lakini wameula wa chuya. Maana CHADEMA ndo wameshapangua hoja kwa kumnasa Professor Abdallah Safari. Mwisho wa hiana zao. Naamini muda si mrefu litatinga mahali itafungwa tu. Maana ukiangalia dhumuni la mihadhara huiyo ni kuuponda uongozi wa Nyerere na Azimio la Arusha ( unajua jinsi hotuba za Nyerere zinavyowaumiza kina Mkapa, JK nk), Pia wnampoda sana Dk Slaa ( si unajua anavyowaparula?) So naomba sana muelewe pale si maslahi ya Waislamu, la Hasha . Ni kuisambaratisha CHADEMA. Na wale si waislamu, bali genge la propagandist wa CCM-Fisadi wingi. Ni mradi wa Pinda, John Malechela, Pius Msekwa, Rostam, Lowasa, Mkapa na wezi wote waliomo CCM. Ndo maana hata hao makamanda wa Ufisadi hawathubiutu kujadili hilo bungeni, maana nai mradi maalumu wa kuua hoja za CHADEMA na Wilbroad Slaa. Kina Mark Mwndosya, Salima Ahmed Salimu, Warioba, Butiku ,Sumaye , Msuya wote wanajua lakini wamekaa kimya. Sababu ni moja, REDIO IMANI ni tawi la propaganda chafu za chama hiki kilichodhoofika na kufika mwishao wa kufikiri. Lakini watashindwa.
Mwito: Maaskofu msikate tamaa, endeleeni na juhudi zenu za kuuelimisha UMma. Tunasubiri awamu ya pili ya waraka wa elimu kwa raia kutoka Roma. Tunataka makanisa na waislamu safi walete nyaraka za elimu ya uraia. Hakuna kulala. Mafisadi wanatapatapa na mwisho wao ndo huu.
 
Wakristo wa nchi hii wana tabia ya mwizi anaposhikwa.Hata siku moja hataki aambiwe kuwa kaiba kwani anajuwa matokeo yake akikubali hivyo.
Jengine wakristu wana wivu sana na maendeleo ya waislamu.Wanashangaa redio Imaani inaendeshwa na watu walioenda madrasa lakini inafanya vizuri kuliko redio zao.
 
Wakristo wa nchi hii wana tabia ya mwizi anaposhikwa.Hata siku moja hataki aambiwe kuwa kaiba kwani anajuwa matokeo yake akikubali hivyo.
Jengine wakristu wana wivu sana na maendeleo ya waislamu.Wanashangaa redio Imaani inaendeshwa na watu walioenda madrasa lakini inafanya vizuri kuliko redio zao.

umesema inafanya vizuri?
 
Hakuna mwenye uwezo wa kuifunga radio iman, atakabiliana na NGUVU YA AJABU na ataharisha kila siku mpaka anakufa. Kwa taarifa yako:
1. sio lazima kuisikiliza
2. na hata ukiisiliza hupati chochote kwa sababu wewe ni kafiri.
3. hakuna hapa duniani mwenye uwezo wa kuifunga, hata ikitawala chadema na haitotawala labda mimi na kizazi changu tumekufa.

Acheni kuleta HOJA MAVI hapa. Halafu nashangaa mijadala kama hii inaachwam kwa kuwa inaubeba ugalatia. Eti mashekh hawana elimu, nyie mtakuwa na elimu wakati hata kuchamba hamjui. JIHESHIMUNI ndio nchii itakuwa na amani. Sisi tunajua kuishi na dini zote, tuna misingi yetu ya kuvumiliana na sio kunyamazisha HAKI. Wagala nchii hii mmebebwa sana na kodi zetu, tulieni ****** atufanyie mambo.
Redio ya wafuga majini inaongea kijini jini tu
 
Kwa hiyo unamaanisha wewe ni FISADI au MTOTO WA FISADI. Mbwa wee, acha dharau na ndio maana CDM haiwezi kupewa nchi hii katu kwa mitazamao mavi kama hii.
Mijitu mingine bana...mkiambiwa mle kitimoto mpate akili na hekma mnakimbilia Madrassat Jini. Pambaf!
 
Tukianza kubase na dini katika utendaji wa kila siku tutafika pabaya.kwani tukimaliza hapo tutasema mbona nchi inaendeshwa na kabila flani ,halafu mbona nchi inaendeshwa na watu weusi tu na si wahindi au waarabu halafu mbona ni jinsia moja zaidi..mi nadhani muhimu ni watu wajitahidi ktk shughuli zao kama ni kusoma , biashara , kazi , na nyinginezo wasitegemee favor za udini ,kabila ,rangi ya ngozi ,au vitu gani sijui..huo ndo ukweli
 
Nimekupata mkuu!!!!!!!!!!. Mijadala of such type ipo had huku mtaan, m n muumin wa kiislam, nagombana nao wanaposema tunatengwa, tunaonewa, HOW??????.Napenda kuwaambia kuwa kama tunabaguliwa na tumeshajua hakuna haja ya kulalamika, swala ni ku work on it. Tusome kwa bidii, sipend kuiaminisha jamii kuwa muslim tunabaguliwa b'se sijawahi ku experience kitu kama hicho. Kama yupo mtu ambaye ashawahi kukutwa na mkasa wa kukosa nafasi yeyote kisa muslimu anijuze, namaanisha kuanzia 2000 had tjis year. Kama lilikuwepo nadhan kwa sasa limeisha!!!!!!!!!. Mbona shule za kiislamu znaongoza kufelisha??????. Hapana kulialia sio suluhisho. SISI NI KITU KIMOJA, HAKUNA DINI BILA SISI,
 
Kwa mwislam ambaye amesoma na kuelewa sidhaani kama anaweza kukubaliana na huo mjadala, manake ni uongo mtupu na uchochezi.

Hata ukifuatilia wanachosema si kweli maana wao ndo wachawi wa maendeleo yao, fanya tu utafiti mdogo wa shule za sekondari za kiislam kuhusu maendeleo yao utahisi kichefuchefu, manake viongozi ambao hawana elimu dunia wanang'anga'nia kuzisimamia hatimaye kuzipeleka ambako siko.


kiukweli waislam waliosoma ndo ambao sasa wanawafungua macho hao wenzao ambao walikuwa hawajui kilichotokea kabla na baada ya uhuru....ambao walikuwa hawajui mfumo kristu ni kitu gani na muda si mrefu waislam wote watajua kilicho na kinachoendelea
 
Kama kuna watanzania wanaosikiliza hiyo redio basi hawazidi mia tano. Wengi wao wapo tandale, manzese, tandika, temeke, gongolamboto na mbagala.

endelea kujidanganya na kuendekeza uvivu wako wa kufikiri baada ya muda utajua kama kweli hawafiki 500 na wanatokea tandale......fool
 
Mwakaboko

You've the point.

I have said,and once again I'm saying hili swala la UDINI ni KUTAPAPATA KWA CCM. Hakuna kingine.
Nakuhakikishia kuwa leo hii kitokee Chama pinzani chenye Ushawishi mkubwa kama CHADEMA au kuliko hata CHADEMA na kiwe na uongozi wa juu ULIOSHIKILIWA NA WAISLAMU basi KIKWETE NA CCM YAKE atawageuka PAMOJA NA UISLAMU WAKE akishirikiana na CCM na UWT(Usalama wa Taifa)kuanza kukishambulia chama hicho kuwa ni cha KIDINI.

Tumeyaona hayo mwaka 2000 wakti CUF ikiitetemesha CCM.Wafuasi wa CUF zaidi ya 20 waliuawa huko Pemba kwa kupigwa risasi. Tukasikia propaganda kali za CCM kuwa CUF ni CHAMA CHA KIDINI KINAENDEKEZA UISLAMU. Tukasikia habari ya MAJAMBIA YA CUF mpaka waandishi wa habari wakaitwa na IGP MAHITA enzi hizo kuonyeshwa majambia ya CUF akisema kama CUF ni NGANGARI basi Jeshi la polisi ni NGUNGURI!!!!

Kwa watu wenye akili TIMAMU INAYOCHEMKA KWA KUFIKIRI this is just a POLITICAL GAME. Ni wanasiasa UCHWARA WA CCM wanataka kucheza na akili finyu za Wadanganyika wachache ambao IQ yao ni ndogo na WAVIVU WA KUFIKIRI kama WAISLAMU NA MASHEIKH wao. Hawa tayari wameshaanza kuingia kwenye MTEGO WA CCM WA UDINI. WAKRISTO NA MAASKOFU wameshakanusa hili jambo makanisani MARA KADHAA LAKINI SERIKALI YA CCM IMEAMUA KUTIA PAMBA MASIKIONI. Bado wanaendelea kuchochea moto wa UDINI!!!Ni mikakati ya CCM kwa ajili ya 2015 baada ya kukoswakoswa kung'olewa na CHADEMA mwaka 2010.

Mimi nasema sisi WAKRISTO na WAPENDA AMANI NA MSHIKAMANO WA TAIFA LETU HATUDANGANYIKI.
CCM WAJIANDAE TU KUPELEKWA KWA MORENO OCAMPO PALE NCHI ITAKAPOTUMBUKIA KWENYE MACHAFUKO NA HATIMAYE MAUAJI YA HALAIKI KWA SABABU ZA KIDINI.


Surely CCM you gonna pay for all these nonsense/rubbishes you call it UDINI.

mzee huwezi kubisha juu ya udini wa chadema cz hao wanaolalamika kuwa chadema ni chama cha kanisa wanaushahidi mzee na hata mimi nilishausoma na baadhi ya sehem za waraka huo mapadre wanawasisitiza waumini wao kuwa chama chao ni CHADEMA na mipango yote imekamilika juu ya nini kitafata baada ya chadema kuingia madarakani..........na hilo naomba msahau
 
Hao ni masheikh uchwara wackupe taabu,cc waislaum tulioelimika hatuwezi kudanganywa na hao wapuuzi
waislamu waloeloelimika hawawezi kuwaita masheikh wao wapuuzi kwa lolote lile pole kwa kuvamia uislamu na kua mbali sana na tabia zao "maana hakuna alieelimika yeyote kama hana qurani kifuani mwake, na mwenye quran matusi kwake mwiko kwa wadogo na hata wakubwa" umevamia uislam bana sema kweli.
 
Nimekupata mkuu!!!!!!!!!!. Mijadala of such type ipo had huku mtaan, m n muumin wa kiislam, nagombana nao wanaposema tunatengwa, tunaonewa, HOW??????.Napenda kuwaambia kuwa kama tunabaguliwa na tumeshajua hakuna haja ya kulalamika, swala ni ku work on it. Tusome kwa bidii, sipend kuiaminisha jamii kuwa muslim tunabaguliwa b'se sijawahi ku experience kitu kama hicho. Kama yupo mtu ambaye ashawahi kukutwa na mkasa wa kukosa nafasi yeyote kisa muslimu anijuze, namaanisha kuanzia 2000 had tjis year. Kama lilikuwepo nadhan kwa sasa limeisha!!!!!!!!!. Mbona shule za kiislamu znaongoza kufelisha??????. Hapana kulialia sio suluhisho. SISI NI KITU KIMOJA, HAKUNA DINI BILA SISI,
nadhani ndugu yangu huna budi kwenda kwenye taasisi za juu za elimu za serikali nakupa njia nyepesi ya kufanya utafiti " anzia UDSM uliza namba ya waislamu walioingia mwaka fulani na waliomaliza (utatoa machozi kama una moyo wa imani na ndugu zako) "na sababu zao fuatilia kwa makini uone. nakupa mfano baadhi ya sababu, mtu ana GPA 4.3 ana B+ pamoja na A kaitka kozi zake {kisha anasap hatoki, anakeri, hatoki kisha anatemeshwa chuo} hizi akili za kozi nyingine ni za nani? mwingine aah huyu aliwahi kusoma chuo fulani hakutwambia wakati wa udahili wake (wakati huo yuko mwaka wa pili) ndo wanaongelea sababu ambazo hazina ushahidi na mpaka wanamtimua. nayaongea haya nimeyashuhudia kwa macho. nakupa kali (aliingia muislam mmoja ndani ya ofisi kuomba kusainiwa fomu yake akiwa amevaa kanzu nyeupe akaambiwa kavue hilo gauni ndo uje hapa sio msikitini, na akakataa kuhudumiwa) akatoka, akampa mwenzie fomu akaenda kumsainia badala
bwana nimengi mno: fikiria sababu sifuatazo 1. kwanini kila siku kwenye fomu za usajili tunaandika dini.(kuna huduma gani ambazo watu wanapewa vyuoni kwa kufuata dini zao? kama si kutaka kuchamvua wako wapi kina hassan na hussein?)
2. kwa nini tusifanye mitihani yote ya vyuo kwa namba tu ? na majina yakatakiwa siku za mwisho kabisa?
watu tuangalie shule hizo wanazosema za waislamu nani msimamizi? (bakwata ambayo ni serikali ileile ya mfumo kristo, na ushahidi kanisa lilifadhili vikao vyake kwa uongozi wa mrema na kutunga katiba yake mwaka 1992.) hizo shule kuna mfumo mzima wa kuziharibu na zilikwisha haribiwa na kuna mawakala kila siku wanaziharibu. mfano nenda kinindoni muslim (academic master) ni dini gani? je ana maslahi na waislamu huyu? je performance itakua nzuri kama sehem nyeti kakaa mvurugaji mkuu? na jee waislamu wana sauti juu ya hizi shule. pima ufaulu kwa shule za kiislamu ambazo zinajitegemea kama katoro kule bukoba na nyinginezo utaona tofauti. asante na usiku mwema
 
Ila waislam na nyie mmezidi nasikia eti huwa mnaamini Majini ndo maana huwa mnauwa watu.kwa taarifa yenu hamtuwezi Wakristo,WAISLAM WOTE DUNIANI MNAPIGWA NA NCHI MOJA TU "ISRAELI" kama mnabisha jaribuni kuigusa ndo mtajua YESU NI MUNGU .nendeni shule acheni umbumbu wa kunawanawa wakati tumbo mna kinyesi.
 
Sisi waislamu tuna akili hao mashehe ni wapuuzi na wanapaswa kupuuzwa na sisi waislamu wote.Tusitetee ujinga wa watu wachache wasiofikirisha bongo zao na kukalia kupalilia hoja za udini.
 
Ila waislam na nyie mmezidi nasikia eti huwa mnaamini Majini ndo maana huwa mnauwa watu.kwa taarifa yenu hamtuwezi Wakristo,WAISLAM WOTE DUNIANI MNAPIGWA NA NCHI MOJA TU "ISRAELI" kama mnabisha jaribuni kuigusa ndo mtajua YESU NI MUNGU .nendeni shule acheni umbumbu wa kunawanawa wakati tumbo mna kinyesi.
Nenda zako!.
Hata dini ya Waisrael huifahamu.

 
Wandugu leo saa 8:30 hadi 9:00 nimejaribu kutune hi redio yenye mrengo wa dini ya kiislamu lakini mambo niliyoyasikia toka wa watangazaji na wasikilizaji wanaopiga cm kuchangia mada kuu "VIJANA NA SIASA ZA TANZANIA" ni ngumu kuamia kama hawa watu ni watanzania au wasomali?

wanadiliki kusema kwamba eti vita ya tz vs uganda (1978) ilikuwa ni hira za Nyerere kumtoa muislamu Idd Amin Dada na kumweka mkristo Milton Obote.! eti rushwa na ubadhirifu unaofanyika sasa ni matokeo ya utawala mbaya wa Nyerere na Mkapa
 
mi siwashangai tushawazoea hawa wafinyu wa kuthink , unajua mfa maji mara zote haachi kutapatapa hata kama alijizamisha mwenyewe !!!


"THE ONLY ABSOLUTE TRUTH IS THAT THERE ARE NO ABSOLUTE TRUTHS"
 
uwe unaleta na majadiliano ya maaskofu yanayojadili kukandamiza Uislam-umeanza kwa dharau kuwa kwa bahati mbaya imetokea ukasikiliza redio hii wakati ukitafuta stesheni na kwamba wewe huwa husikilizi-wote waliochangia kwa nia ya kuudhalilisha Uislam na mmelaaniwa, mlipashwa kuzungumzia redio na sio dini

Ni vema kabisa tuijadili Redio na sio Dini ya hiyo Radio,kwa ninavyofahamu mimi radio pamoja na kuhudumiwa na taasisi au wafanyakazi wa kiislam haiwakilishi uislam kwa 100%.DINI MBALI REDIO MBALI.ni bora tujadili uppuuzi wa hiyo redio na si Dini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom