Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
nchi hii ina udini, inaongozwa na mfumo kristo, ipo kitawaka tugawane mbao.

ww sasa ndo NEGATIVE HII punguza jazba sio woyawoya tu maana hutoweza kufkr kamwe ukiweka negative mbele

wacha waislamu tulalamike na tutalalamika mpaka kiama lkn hakutakuwa na mabadiliko yoyote kama tutaendekeza sera ya udini huku tukiwaacha watu wenye uchungu na nchi kwa sababu tu si waislamu.
Nimeipenda hii, mtalaani sana, bt msipofanya kazi mtabaki watu wakulaumu tu, mpaka mwisho wa dunia. Haki ipi mnayotaka? mahakama ya kadhi au nini?

Leo niliamua kupoteza muda wangu kusikiliza kipindi cha " Mwangaza wa jamii" kinachorushwa na radio iman. Mashekhe fulani wakawa wanachochea waislam kuingia barabarani kudai haki eti kwa kuwa wamekandamizwa na wakristu.

Hivi ni lini wakristo wameongoza hii nchi? Nimejiuliza hivi kweli usalama wa taifa una habari na uchochezi huu? Au wanawadharau.

Hiyo redio ina wenyewe na hao ndo waendesha nchi

Je hapo hakuna sababu za ki intijensia kuhsu kuandamana?

Ukiwa mwizi basi kila mtu utahisi ni mwizi kama ww! Na ukishakuwa na roho ya kujitenga, ubaguzi basi hata mwenzio utamuona ni mbaguzi tena kuliko wewe na utamuona ni adui yako!

wacha waislamu tulalamike na tutalalamika mpaka kiama lkn hakutakuwa na mabadiliko yoyote kama tutaendekeza sera ya udini huku tukiwaacha watu wenye uchungu na nchi kwa sababu tu si waislamu.

Bro; you've hit the target. Siku zote nasema wala simung'unyi maneno; tatizo kuu la waislamu ni UBINAFSI, UBAGUZI, na UDINI. That's the reality. Sikiliza mahubiri, makongamano, mihadhara, na hata nyaraka zao mbali mbali. Hata kwa yale masuala ambayo sio ya kiimani kwao wanataka kuyageuza yaonekane kama ni ya kidini. Ingependeza sana kama wangesimama hadharani au hata kuandamana kupigania maslahi ya WATANZANIA wote bila ubaguzi wa kidini. Yaani wanataka kutuambia UMASKINI unawakabili waislam tu? UJINGA unawakabili waislamu tu? MARADHI yanawakabili waislamu tu? MANYANYASO mbalimbali yanawakabili waislamu tu? MIMBA za utotoni zinawakabili watoto wa kiislamu tu? HAKI ambayo matokeo yake ni AMANI hawatendewi waislamu tu? UGUMU wa maisha unawakabili waislamu tu? MAKAZI duni yanwakabili waislam tu?

Kwao madai makuu ni MASLAHI YA WAISLAMU ambayo kwa kawaida hayafafanuliwi. Mara nyingi huwa najiuliza ni kipi hicho wanachostahili waislamu ambacho wengine hawastahili? Au ni kipi hicho ambacho wengine wanatendewa vizuri na serikali/jamii ambacho waislamu hawatendewi? Hebu waeleze bayana na si kisingizio cha MFUMO KRISTO. ACHENI UCHOCHEZI BANA!

Na nyie vyombo vya usalama chukueni hatua kuna siku yatakuwa mengine. Sikiliza Radio Imaan, soma Gazeti la An-Nuur, na mengine yanayofanana na hayo. Kwa mtindo huu amani ya nchi hii iko shakani na hivi vyombo vina sehemu yake.

Msiogope usalama wapo makini tcra ndo usalama hiyo redio inasikika mwisho kisutu na maeneo jirani hivyo madhara yake ni madogo kwa usalama wataifa na zaidi kuna mtu wakurekodi program za mijadala redio zote tv zote hivyo wanaweza wakapewa onyo wakikaidi wanapunguziwa masafa au wanawekewa mwingiliano wa masafa inabore wasikilizaji unaamua kwenda station nyingine!

R u serious? Unafahamu masafa ya hii redio au unatania?

Leo niliamua kupoteza muda wangu kusikiliza kipindi cha ; Mwangaza wa jamii; kinachorushwa na radio iman. Mashekhe fulani wakawa wanachochea waislam kuingia barabarani kudai haki eti kwa kuwa wamekandamizwa na wakristu.
Hivi ni lini wakristo wameongoza hii nchi? Nimejiuliza hivi kweli usalama wa taifa una habari na uchochezi huu? Au wanawadharau.
Mkuu, kule Arusha kwenye mkutano wa CDM sakata la Meya tulimsikia Mbowe akiwaamasisha wananchi kuwa wameipa Serikali mwezi kutatua mgogoro wa Arusha zaidi ya hapo wataingia barabarani kwa maandamano kwenda kuvamia ofisi za Manispaa ya Arusha. Huu sio uchochezi???
Punguza unafiki kijana

Tutakuwa na Mahakama ngapi kama Wakatoliki, Wasabato, Walutheli, Waanglikana, Wasabato Marejeo, Coptic, Pentekoste, Waislamu Suni, Waislamu Shiha, Mabudha, Mashahidi wa Jehova na Wasio na dini kwa kuwataja wachache watataka kuwa na Mahakama zao ambazo zote hizo zinatakiwa kutambuliwa na Serikali na kupewa ruzuku ya kuziendesha? Masuala ya imani ya madhehebu yaachwe kwenye madhehebu, yasiwe ya Serikali.

Wakati mwingine na mara nyingi sana huwa sipendelei kuzungumzia juu ya dini zet tulizo nazo pamoja na imani zetu kwa ujumla wake ila kuna vitu vingine mtu unashindwa kuvumilia kabisa. Mi naomba niwashangae kabisa wenzetu wa upande wa pili wa Imani pamoja na hiyo Radio yao wanayotumia au kutaka kuharibu amani ya nchi au kuchochea wananchi kutofautina bila tija yeyote. Wenzetu hawa hawa walalamika wakapewa majengo ya Tanesco pale Morogoro lakini product ni upuuzi mtupu, wana shule za Sekonadari lakini ufaulu bado hakuna kitu mathalan ni Bondeni mkoani Arusha sasa badala ya kutumia vyombo vyao hivyo kushawishi wanafunzi wasome ili waweze kujikwamua na kukomboa Taifa wao wanabaki na Takbir... Na tuelezane tu ukweli ndugu zetu raha yao ni kukaa a kuunga mboga, kupaka rangi na ina, na mambo mengine; kwa mtindo huu Hatuwezi fika hata kidogo; Wakati wao wanalalamika wenzao wnatafuta ARDHI waongeze hospitali za rufaa, wajenge vyuo vikuu, na Sekondari, na majengo ya kukodi na vitu kadha wa kadha na ni lazma watambue vile vile kuwa hao wenzao pia wana vyombo vingi vya habari tena vinavyosikika maeneo makubwa nchi hii ila hawana muda huo wa kushawishi wananchi kufanya mambo ya kipuuzi manake wao ni wapambaji hwako kusubiri kuletewa bali wanafuata pale ilipo.

Sasa labda tushauriane, manake hawa wafuatao ni wa upande huo unaolalamika; (Ntawataja wachache tu japo wapo wengi sana)
1. Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
2. Mhe. Dr. Gharib Bilal
3. Mhe. Othman Chande (Jaji Mkuu)
4. Mhe. Chande (Mkurugenzi Usalama wa Taifa)
5. Mhe. Mustafa Mkulo etc
Kwa wakaopenda wanaweza ongeza list ila mpaka kufika hapa hivi kweli hawa wenzetu wameshindwa kabisa kuzungumza na hii top layer hapa juu ila waweze kusaidika badala ya manung'uniko kila leo...... Naomba kutoa hoja

Hv sasa hyo radio ya ant_kitimoto inackka had songea.tcra wanaogopa c unajua tena hao jamaa ukiwazngua kdogo wanataka kulia!

haki siku zote haki huendana na wajibu, waislam wengi wanaodai haki kwa nguvu ikiwemo kutishia ama kuua kabisa mwanadamu ama wanadamu wengine, ni wale waislamu wasio na elimu siyo tu ya akhera, bali hata ya dunia...hawajawahi kutimiza wajibu wao hata sekunde moja, wao siku zote wanawaza kuwa wanaonewa.....very stupid...

Bali wapo waislam safi, hawajihusishi na mambo maovu, wanatimiza wajibu, na wanadai haki kwa hoja through dialogue...hawa ndo wenye athari kubwa na usalama wa nchi, na ndo wanaopewa kipaumbele katika kusikilizwa, hao wazush wa alnur na radio iman ndo wale wajinga niliwaoelezea katka para ya kwanza....

Mengi yamefanyika ktk kuakandamiza uislamu. Tukiamka kudai haki zetu tunaambiwa tuna hatarisha amani. Waache radio imaan watoe daawa kwa waislamu tutambue haki zetu.

Huu ndiyo unanifiki nisioupenda, tunajidai kuhamasisha mapambano hapo hapo
tunachochea chuki miongoni mwetu, sisi wenyewe si wamoja, tunabaguana
kuna unafiki miongoni mwetu na hatujali elimu dunia ndiyo maana tunaburuzwa

Hivi tunapinga watu kuandamana kudai maslahi ambayo wanadhani wanapunjwa ? maandamano ni njia halali kabisa ya kulalamika. Mimi ningekuwa na tatizo na Radio Imaan kama wangekuwa wanataka watu waingie msituni,kuanzisha vurugu au kuanzisha chama cha siasa cha kidini.

Ushauri wangu kwa ndugu zangu waislamu maendeleo yetu sote yapo mikononi mwetu na pia kwani Bakwata sasa hivi hawashughuliki na Mirathi na migogoro ya Ndoa ? Labda tatizo ni Bakwata na waislamu wote washiriki kuibadili ili iweze kukidhi mahitaji ya kiroho na kijamii kwa maslahi ya waislamu na watanzania kwa jumla.
Kuendelea kuwa na Masheikh wa mkoa au kitaifa ambao hawana au wana elimu ndogo ya kidunia pia ni tatizo.Inabidi waislamu wasomi ambao wapo wawe waendeshaji/viongozi wa Bakwata na Masheikh wawe washauri tu.
Kukitokea watu waliosoma wakapeleka projects zao OIC,Islamic Bank na nchi za kiislamu nadhani matatizo mengi ya Elimu,Afya na SME yangetatuliwa.
Kuna Mtanzania yupo Islamic Bank aliwahi kuniambia hawajawahi kupata ombi kutoka Tanzania lakini Uganda na Kenya wametuma nyingi na zimesaidiwa.

Tuache kulalamika. JK ametuambia ukweli. Tunaweza kuanzisha mahakama ya kadhi lakini haitasimamiwa na serikali. Pia kuhusu wakristu kusasidiwa mimi binafsi ninaona ni jambo zuri maana wao wanazo hospitali kubwa tena zinatoa hudma bila ya kubagua. Sisi waislam hatuna hospital. sasa tunacho lalamika ni nini? shule tunazo lakini zinashikaga mkia kenye matokeo. Tukaze buti, tusome, tuache kubwabwaja bwabwaja. habari ndiyo hiyo. wakristu ndiyo wanavyosonga mbele, wanapata ajira nzuri. Sisi tunacheza bao tu na kugongea gahawa na kashata tu. Huo ndio ukweli. Tusome then tutaona mafanikio. Hakuna short cut in life. we have to struggle

• Thanks
Reactions: ram
Hivi kweli nyie mapoteza wakati na hii redio njaa, hao mashehe wenyewe ndio wizi wakubwa wa hela za misaada, halafu eti wanadai haki. Waislamu wenye akili zao wanaiona hii redio ni kama ya makatuni tu. Dawa yao waingie mtaani halafu wapate chai yao. Pumbavu kabisa hawa. Nia yao ni kuvuruga amani tu.

Siku chache zilizopita tulikuwa tunaangalia tv na mwenyenyumba ambaye ni muislam. Tv ni yake na iko kwenye grocery yake, kweli. Dogo akabadili chanel kutoka mlimani tv akaweka tv tumaini. We mwenyenyumba si akawaka! 'Toa litv la MAKRISTO HAPA'. Kweli ilitudisapoint sana, nadhani alitambua kuwa wapo watu mchanganyiko wa dini tofauti, akaomba radhi, 'SORY MADOGO nilijisahau tu!'
jamaa sijui kwa nini wanachuki kiasi hiki dhidi ya wakristo. Enyway.
Mungu ni upendo kwa mujibu wa maandiko. Tupeane injili ya uzima wa milele kwa kuzingatia neno la MUNGU, NA SI VITABU.

Mengi yamefanyika ktk kuakandamiza uislamu. Tukiamka kudai haki zetu tunaambiwa tuna hatarisha amani. Waache radio imaan watoe daawa kwa waislamu tutambue haki zetu.

Sirlimu nilikuwa nakuheshimu kama msomi wa chuo kikuu tukiwa sote pale SUA kumbe elimu haijakusaidia,shame on you brother!

Mengi yamefanyika ktk kuakandamiza uislamu. Tukiamka kudai haki zetu tunaambiwa tuna hatarisha amani. Waache radio imaan watoe daawa kwa waislamu tutambue haki zetu.

Kuna siku nilikuwa napita hawa ndugu zetu Waisalamu walikuwa wako kwenye kongamano lao, jinsi walivyokuwa wanaongea lugha za kichochezi nikasema Mungu wangu laiti Wakristo wangekuwa wanaongea kama hawa Wa islamu kungekwa na machafuko makubwa sana.Kuna kila sababu ya hawa majamaa kuitwa na vyombo vya usalama kujieleza!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom