Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
PLEASE GUYS STOOOOOOOP. We are all brothers, we are all Africans, No matter what we believe, we should not let our believes apart us, We will all safer the consequent when the thing burn out. Please brothers i berg you to stop this, I know everybody has friends or connected in either way in Islamic or Christianity.
We have national matters to fight for, lets join our hands together to fight for better lives of our offspring.The ALMIGHTY GOD FOR GIVE US IN THIS, BE BLESSED ALL OF YOU.

MOD PLEASE REMOVE THIS TOPIC ITS GOING TOO FAR.
 
Wasomi wa Kikiristo wa Tanzania waliopo Serikalini Elimu zao wanazojitapa nazo ni sawa sawa na punda aliobeba mizigo ya vitabu!
Elimu zao zimewasaidia kufanya UFISADI na kupora mali za Watanzania tu

Ukisema maneno kama hayo mchana kweupeeee watadai kuwa ni maneno ya uchochezi na yanaleta uvunjifu wa amani kwa kuleta chuki.

Wanasahau kuwa ndio ukweli wenyewe.

Tatizo lao kubwa na yale mafundisho waliyopewa Sunday school
 
Leo niliamua kupoteza muda wangu kusikiliza kipindi cha " Mwangaza wa jamii" kinachorushwa na radio iman. Mashekhe fulani wakawa wanachochea waislam kuingia barabarani kudai haki eti kwa kuwa wamekandamizwa na wakristu.

Hivi ni lini wakristo wameongoza hii nchi? Nimejiuliza hivi kweli usalama wa taifa una habari na uchochezi huu? Au wanawadharau.
 
hatuna usalama wa taifa bali usalama wa viongoz na magamba.Mchelea mwana kulia
 
Mengi yamefanyika ktk kuakandamiza uislamu. Tukiamka kudai haki zetu tunaambiwa tuna hatarisha amani. Waache radio imaan watoe daawa kwa waislamu tutambue haki zetu.
 
Mengi yamefanyika ktk kuakandamiza uislamu. Tukiamka kudai haki zetu tunaambiwa tuna hatarisha amani. Waache radio imaan watoe daawa kwa waislamu tutambue haki zetu.
yaleyalee ya haki zetu...haki zipi?? ! huku wala sijiingizi maana ni kama kumpigia mbuzi zeze
 
wacha waislamu tulalamike na tutalalamika mpaka kiama lkn hakutakuwa na mabadiliko yoyote kama tutaendekeza sera ya udini huku tukiwaacha watu wenye uchungu na nchi kwa sababu tu si waislamu.
 
Hao masheikh waganga njaa................ hawana dili wala nini pasua kichwa hao na usishangae wana gazeti lao la Al nur kwa uchochezi hilo nouma. Hawana uwezo wa kuingia barabarani.
 
Vyombo vya usalama ni mimi na wewe usitegemee kuna vyombo vyovyote vile ila kama una kitu kidogo watakuja kukulinda. Hawalipwi vizuri ila watafanyeje hakuna kazi Tanzania?

Hio radio ndio wale wajinga wasio na elimu na vichaa waacheni na dawa yao itakuja hivi karibuni ... hiii michonganisho si alianza alipokuja mwinyi na sasa imerudi tena kikwete alipoona anashindwa kujibu maswali ya wananchi na kuwapa pesa hawa al quida wa Tanzania, ngoja hao serikali ya US watakapoandika report ya terrorism kuhusu Tanzania ... its coming!
 
Jamani jamani msichanganye waislam wote na Radio Iman. Chonde chonde. Tartiibu.
 
Redio imaan bila shaka inafanya kazi kwa maelekezo ya CCM.
 
wasira yuko wapi au uwezowake ni kuwapiga biti chadema maana nakumbuka alitembelea karibu vituo vyote vya tv na radio kukemea maandamano ambayo kimsingi hayakuwa na nia mbaya kwa taifa lakini kwa mafilauni kama hawa yuko kimya au kalala..
 
Humu jf kuna watu mnakera sana, ikitokea mambo ya radio iman au tamko lolote la kikundi chochote cha kiislam mnalaumu waislam wote kitu ambacho sio sahihi, waislam tupo wengi ambao tumeshawajua viongozi wetu wapo busy na kikwete na ccm yake wakati wananchi tunatabika na matatizo lukuki.
Hawa waislam wengine bana wanachekesha kikwete aliwahidi mahakama ya kadhi na kawapiga changa la macho kinachofanya ang`ang`aniwe cjui ni k2 gani
 
Usalama wa Taifa Tanzania unatakiwa kuwa makini maana bila shaka huu uzembe wakuufumbia macho basi tutasema na wao ndio wanaupandikiza uislam hapa nchini maana haiwezekani kuwa hawaoni wala hawasikilizi utumbo wanaoufanya waislam hapa nchini chini ya serikali inayotaka kuwa ya kiislam.
Hatuwezi kuyaangalia haya yakiendelea katika nchi yetu tunayoipenda sote
 
wasira yuko wapi au uwezowake ni kuwapiga biti chadema maana nakumbuka alitembelea karibu vituo vyote vya tv na radio kukemea maandamano ambayo kimsingi hayakuwa na nia mbaya kwa taifa lakini kwa mafilauni kama hawa yuko kimya au kalala..
<br />
<br />
kashalala huyo!!
 
Msiogope usalama wapo makini tcra ndo usalama hiyo redio inasikika mwisho kisutu na maeneo jirani hivyo madhara yake ni madogo kwa usalama wataifa na zaidi kuna mtu wakurekodi program za mijadala redio zote tv zote hivyo wanaweza wakapewa onyo wakikaidi wanapunguziwa masafa au wanawekewa mwingiliano wa masafa inabore wasikilizaji unaamua kwenda station nyingine!
 
wewe unacho ogopa ni nin wakrsto siku tukitamka kuandamana utatoa thread kama hii. mda mwingine jaribu kuwa neutro usiweke unegative mbele mm ni mkristo ila thread za udini sipendi. UACHE WOGA KAKA! TOKA JK KAMAZINGUA NAO ILI HASIRA ZIISHE WAACHE WAANDAMANE ILI HATA WENGINE WAKIANDAMANA KISIASA WASIZUIWE.
mtazamo tu tusjenge chuki janvini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom