Tuseme ukweli: Wanawake wengi huwa wanatamani Sherehe na sio Maisha ya Ndoa

Niolewe mara ngapi? Mie nimeshaolewa, na ndoa juu plus sherehe, na ndoa yangu iko vizuri zaidi ya jana.
Tunza sana hiyo zawadi......wengi wamekosa na wengine wamekata tamaa hata kabla ya mchakato wenyewe wa ndoa..

Nb, wanaume na wanawake ni wengi sana, ila waowaji na waolewaji hawapo.
...the world we're living in .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa kumheshimisha na kumchukua kama mke.
Mkuu nimecheka sana, hasa baada ya kuona neno "chapati kama amoeba" Nimejaribu tu kufananisha entamoeba histolytica na chapati. Daaah big up sana mzee
 
Back
Top Bottom