cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 84,878
- 136,371
Niolewe mara ngapi? Mie nimeshaolewa, na ndoa juu plus sherehe, na ndoa yangu iko vizuri zaidi ya jana.Utaolewa lini wewe?
Niolewe mara ngapi? Mie nimeshaolewa, na ndoa juu plus sherehe, na ndoa yangu iko vizuri zaidi ya jana.Utaolewa lini wewe?
Tunza sana hiyo zawadi......wengi wamekosa na wengine wamekata tamaa hata kabla ya mchakato wenyewe wa ndoa..Niolewe mara ngapi? Mie nimeshaolewa, na ndoa juu plus sherehe, na ndoa yangu iko vizuri zaidi ya jana.
Ameeeen, ubarikiwe sana.Tunza sana hiyo zawadi......wengi wamekosa na wengine wamekata tamaa hata kabla ya mchakato wenyewe wa ndoa..
Nb, wanaume na wanawake ni wengi sana, ila waowaji na waolewaji hawapo.
...the world we're living in .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ivo mkuu afu mtu ukisema huoi mtu wa namna hiyo unaambiwa mwanaume hujiamini😂😂. Hata makomando wenyewe pamoja na kujiamini kwao koote hawawezi kumbatia bomu aisee.😂😂 halafu mtu anakutishia husipo oa unakuwa bado sio mwanaume kamili sijui wanadhani bado hatujawaelewa gas lighiting
Mkuu nimecheka sana, hasa baada ya kuona neno "chapati kama amoeba" Nimejaribu tu kufananisha entamoeba histolytica na chapati. Daaah big up sana mzeeNimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa kumheshimisha na kumchukua kama mke.
Huyo unampa mawaidha ni dumeTunza sana hiyo zawadi......wengi wamekosa na wengine wamekata tamaa hata kabla ya mchakato wenyewe wa ndoa..
Nb, wanaume na wanawake ni wengi sana, ila waowaji na waolewaji hawapo.
...the world we're living in .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mawaidha ni "unisex " ....yanafiti jinsia zote.Huyo unaympa mawaidha ni dume
Yaani best sarakasi tu..ni tafrani tupu lol.
Lakini huyo anapakatwa na anadai ameolewa na mwanaume mwenzake
Kaongo we katoto! Umeolewa kabla ya dada ako nani akuruhusu😛Ameeeen, ubarikiwe sana.
Umempa za uso safi sana, plz unatumia kinywaji gani?
Dada wee si unachelewa, mie nimepata nafas nikaitumia.Kaongo we katoto! Umeolewa kabla ya dada ako nani akuruhusu
yaani best sarakasi tu..