Tuseme ukweli: Wanawake wengi huwa wanatamani Sherehe na sio Maisha ya Ndoa

Kinachoniacha nimeshika mdomo ni pale naposhuhudia ndoa za fahari sana zikivunjika upesi huku zile za sogea tuishi zikidumu japo ugali kwa chai ya chumvi...

Mkuu mimi niko kwenye mchakato hapa, nimelipa mahali ila Nilimwambia Bibie kuwa mimi sifanyi sherehe mpaka nitakapo pata pesa ya kugharamia sherehe yangu bila kuchangisha watu. Akakibali so sasa hivi naishi naye, wazazi wake wanajua baadae kutakuwa na harusi ila kiuhalisia hakuna Harusi.
Sipendi harusi yaani basi tu mzee
 
Mkuu mimi niko kwenye mchakato hapa, nimelipa mahali ila Nilimwambia Bibie kuwa mimi sifanyi sherehe mpaka nitakapo pata pesa ya kugharamia sherehe yangu bila kuchangisha watu. Akakibali so sasa hivi naishi naye, wazazi wake wanajua baadae kutakuwa na harusi ila kiuhalisia hakuna Harusi.
Sipendi harusi yaani basi tu mzee
Duuuh mzee angalia baadae usije ukaanza kupigiwa kelele na mkeo, lazima tu atakumbusha, Mbona hatufanyi harusi?
 
Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa
Wanawake akili zao wanazijua wenyewewe tu mimi huwa namshukuru sana yule kiongozi aliyeanzisha msemo wa "mwanaume tafuta pesa tu"
 
Mimi huwa nawashangaa sana wanaume wenzangu wanaoenda kufunga ndoa sanasana hawa wakristo sijui hawaoni mfumo wa ndoa na sheria zake zilivyokaa kitapeli

Vitu vingine katika maisha unabidi uvikatae tu maana sasa hivi siasa zimetawala majumba ya ibada na siku zinavyozidi kwenda watu wanaondo sheria za Mungu wanaweka zao

Eti umewai soma wapi kwenye kitabu cha dini ambapo watu wanaoa kwa kusain kama mkataba halafu wakavishana pete pia wakati wa kutoa divorce inabidi mgawane mali asilimia 50 kwa 50 bila kujali mali katafuta nani

Mimi binafsi naona sasa kufunga ndoa nikusaini mkataba wa ulaghai
Mzee una mpango wa kuoa
 
Au tuseme ndoa za sasa ni mpango wa kuchangishana kama kikoba lkn yule anaeolewa ndio anapokea hicho kilichopatikana?
 
Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa kumheshimisha na kumchukua kama mke.

Ukifatilia kwenye page za Ma mc, utagundua wanawake wanasifia magauni ya ma bibi harusi, kuchangamka kwao au namna wanavyocheza "these are minor things they are alyways interested with"

Hata wale magumegume, wadangaji, pesa mkononi nao utakuta wanasema " Jamani wanaume mko wapi waolewaji tuko hapa na sisi tucheze kama hivi"

Wanahisi ndoa ni kutingisha viwiliwili vyao kwenye sherehe.

Ndio maana pia wanaume wengi wanajiuliza mara mbili mbili kuoa mtu ambaye focus yake toka day one ni namna ambavyo atacheza kwa bidii kuwakomesha mashosti zake siku hyo kwamba kaolewa.

Lakini humsikii anajipanga vipi kuwa mama, mke na mwanafamilia kwa ndugu na jamaa na mipango ya maisha ya ndoa..

Ndoa si ile sherehe ya kula ubwabwa na kukatika ( tena siku hizi mmekosa staha mnanyanyua kabisa na gauni paja liko nje unamwaga mauno mbele ya wakwe,) Behave please, Ebooo Are you the first one to get married in this world? Halafu utupikie chapati ziko kama Amoeba...Grow up..

Jamani Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Baada ya kimya nimerejea.

Amani iwe nanyi

Nimesoma tu tittle bila contents. Uko sahihi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom