pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,229
- 1,687
We unajua Degree holder TPdee alamba ngapi akiwa na cheo cha Pte?chumvi gani niliyoweka au umeona mapato ya degree holder ni yakienda bakabaka hayana level ya Degree kwa kule
We unajua Degree holder TPdee alamba ngapi akiwa na cheo cha Pte?chumvi gani niliyoweka au umeona mapato ya degree holder ni yakienda bakabaka hayana level ya Degree kwa kule
Hujui wewe acha niishie hapo ndo maana nakwambia umekaririshwa na hata nkizidi kubishana na wewe hapa me ndo naonekana kiazi sababu kuu moja haujui shughuli zingine wanazozifanya tena no halali nje ya mshahara na kama ulikuwa hujui ndo ujue Hilo kwanza acha nimalize tu hapahapa!-pesa nje ya mshahara hiyo ni rushwa, kwa sababu polisi haipo kwenye taasisi zenye perdiem na vikao vingi kama TARURA,EWURA,LATRA,TANROADS,TANESCO
- kwenye mission za UN kama UNAMID,MONUSCO,MINUSCA,nk bakabaka ndio wanaenda wengi compared to majeshi yote.
Wewe umesema hakuna Anaefika 3m ndo nimekuuliza unajua mshahara wa rubani? Unaanza kuniletea mambo ya comparing Kati ya bakabaka na PT hivi unaelewa hata unachokitetea kweli mkuu?-polisi wangapi ni marubani
- unaujua mshahara wa bakabaka ambaye ni rubani
- hizo posho mnazolipwa bado ni ndogo, kuna mashirika ya umma posho yake moja tu inafunika kila kitu huko kwenu polisi, eg unakuta extraduty 1,500,000, housing 900,000, transport (fuel allowance)400,000, communication allowance 200,000, salary 3M
Hoja yangu ya msingi kabisa hapo mwanzoni ilikuwa ni kulinganisha kati ya Police na bakabaka, Rudi kasome na ndio maana nikasema hivyo vipesa 1.6m anazopata degree wa PT ni pesa ndogo sana kule bakabakaWewe umesema hakuna Anaefika 3m ndo nimekuuliza unajua mshahara wa rubani? Unaanza kuniletea mambo ya comparing Kati ya bakabaka na PT hivi unaelewa hata unachokitetea kweli mkuu?
Mara unaleta taasisi za kiraia kuhusu kulipwa vizuri Mara housing allowance Mara communication allowance sasa zote za nini na zipo nje ya hoja
Tokea mwanzo nakuambia usilete mambo ya kulinganisha maana ni nje ya Mada na ukiona hivyo Juan ya kwamba huwezi kutetea hoja zako....! Wewe umesema hamna anaefika 3M nimekuuliza unaujua mshahara wa PT rubani mara ooh marubani wapo wangapi hahaha sasa hata akiwepo mmoja si yupo lakini na yupo kwenye payroll ndo nakuuliza unaujua mshahara wake
Ni classified info, lakini jua kuwa analipwa hela nyingi zaidi ya hivyo vi 1.6m vya polisiWe unajua Degree holder TPdee alamba ngapi akiwa na cheo cha Pte?
Hujui wewe acha niishie hapo ndo maana nakwambia umekaririshwa na hata nkizidi kubishana na wewe hapa me ndo naonekana kiazi sababu kuu moja haujui shughuli zingine wanazozifanya tena no halali nje ya mshahara na kama ulikuwa hujui ndo ujue Hilo kwanza acha nimalize tu hapahapa!
Wewe kwa uelewa wako unahisi perdiem Polisi hawana? Tena ni pesa nzuri tu na kwenye majeshi PT ndo wanaongoza kula perdiem ukibisha tafuta Askari wa Jeshi lolote tofauti na PT umuulize vipi perdiem anaijua kala lini ila PT Askari wa kawaida tu wanalamba hizo pesa ila kwingine mpaka watu special sana
Kuhusu swala la mission hujui kitu Associate Professa hizo mission za UN na n.k huwa ni mchanganyiko wa majeshi mawili Kati ya TPDF na PT na hapo hapo huwa kuna mission ambayo inahusu PT peke yao yani wanaenda wao kama wao na wanaenda kulinda raia na Mali zao sasa nkuulize kwa hapo nani anafaidika kuliko mwanzake?
Naona pia umesema kulingana na majeshi yote sijui TPDF ndo wanaongoza sasa nataka nkwambie hapo majeshi yanayoenda kufanya hizo shughuli ni mawili tu si ulikuwa hujui
Soma nilipoanza mwanzoUkianza mambo ya kulinganisha hapa unakuwa unazingua tetea ulichoanzisha!
-Hapa ndio nilipoanzia, awali kabisa msingi wa hoja yangu ulikuwa kulinganisha na kuonesha kuwa PT sio lolote Wala chochote kwa bakabakaDuh basi wako chini sana,Ukilinganisha na wale wa Degree Bakabaka hiyo 1.6M kule labda ni la 7 ndio anapata.
😅😅😅Polisi hata uwe na degree ngapi Mshahara utabaki kuwa kiduchu full mikopo.
Marekebisho sio 1.6 ni wanakula zaidi ya hiyoHoja yangu ya msingi kabisa hapo mwanzoni ilikuwa ni kulinganisha kati ya Police na bakabaka, Rudi kasome na ndio maana nikasema hivyo vipesa 1.6m anazopata degree wa PT ni pesa ndogo sana kule bakabaka
-kuhusu kuingiza taasisi za kiraia msingi wangu ulikuwa ni kuonesha kuwa hizo posho mnazozipigia kelele sio pesa nyingi ni ndogo compared to other institutions
Mtu akikuambia 1.6+ maana yake ni niniNi classified info, lakini jua kuwa analipwa hela nyingi zaidi ya hivyo vi 1.6m vya polisi
Eti classified info! Sema tu hujui usaidiweNi classified info, lakini jua kuwa analipwa hela nyingi zaidi ya hivyo vi 1.6m vya polisi
Yani wewe vitu vingi hujui mzee, hizo perdiem sema usaidiwe-
- perdiem inategemea uko taasisi gani,nimekutajia taasisi zenye perdiem nyingi hapa Tanzania na Nina authority
- perdiem za PT ni 150k kwa junior officers, kwa non officers ni below 150k, perdiem za mashirika ya umma ni 250k,
- mission zote za kulinda amani Bakabaka ndio Huwa wengi, hao police, prison wanapelekwa wachache
Sasa swala la mikopo si ni la mtu binafsi mzee mbona unaleta vitu sivyo, Kuna taasisi watu watu wanakunja mpaka 8M huko lakini huyohuyo mtu anaishi maisha ya hovyo na kuna mtu anakula 800k lakini huwezi dhani anavyoishi kama mtu wa 4MPolisi hata uwe na degree ngapi Mshahara utabaki kuwa kiduchu full mikopo.
Kwa hiyo TPDF wakienda mission mfano congo huwa wanachukua na polisi.Yani wewe vitu vingi hujui mzee, hizo perdiem sema usaidiwe
Narudia tena wewe mambo ya mission hujui nimekwambia hapo juu mission za bakabaka na polisi wapo na mission za polisi wanaenda polisi tu.
☆Inawezekana huelewi nnachokuambia hapa ngoja nkufafanulie kwenye vyuo vya mafunzo au kozi basic za Polisi na TPDF, Polisi mitaala yao inaruhusu kufanya kazi za TPDF ila TPDF ni ngumu sana kufanya kazi za kiPolisi ndo maana nakwambia kwenye mission za TPDF Polisi wapo ila mission za Polisi TPDF hawapo.
Halafu kingine umesema magereza wanaenda mission nakuuliza wanaenda wapi na wanaenda kufanya nini
Nazungumzia general tu ni kama ilivyo kwa waalimu kuna sector hapa nchini zinajulikana kwa vipato vidogo sana mfano waalimu na askari ukitoa TPDF na sio kwamba ni kosa ni mifumo ya nchi ndio ilivyoSasa swala la mikopo si ni la mtu binafsi mzee mbona unaleta vitu sivyo, Kuna taasisi watu watu wanakunja mpaka 8M huko lakini huyohuyo mtu anaishi maisha ya hovyo na kuna mtu anakula 800k lakini huwezi dhani anavyoishi kama mtu wa 4M
Sahihi kabisa! Ila tunachokukatalia ni kuwa wewe unaongeza chumvi kana kwamba jamaa wanakunja pareeefu! Hapa sisi tulikuja kukukatalia umeongeza mbwembwe na nkakwambia kabisa TPDF mshahara wanao mkubwa lakini wewe umongeza sana-Hapa ndio nilipoanzia, awali kabisa msingi wa hoja yangu ulikuwa kulinganisha na kuonesha kuwa PT sio lolote Wala chochote kwa bakabaka
- kwa uelewa wako,ukaingia kichwa kichwa bila kusoma kwa makini, halafu ulivyo mzembe ukaanza kusema hoja yangu haikuwa kulinganisha.
- sasa kama sp anapata 1.5 mtu kafanya kazi more than ten yrs, linganisha na bakabaka officer aliyefanya kazi ten years uone
Huwezi ukaelewa hichi kitu acha niishie hapa ila ni hizo hizo za nje kama UN na n.kKwa hiyo TPDF wakienda mission mfano congo huwa wanachukua na polisi.
Na mbona hatujawahi sikia polisi wakipokelewa Airport kwamba wamemaliza mission fulani kama ambavyo wanafanya TPDF .pia mbona hatujawahi sikiria report yoyote kwamba polisi alikwenda mission fulani nchi X wakapata maafa kama ilivyo kwa wenzao TPDF , au unazungumiza mission za humu humu ndani