Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Shemeji yenu yupo uko nadhani akitoka atakuwa ameshaolewa tayari
Wala hata usiwazee sahivi ni kadem ka Kuruti mwenzie hapo CCP ila kakitoka wataacha ikiwa watakua wametenganishwa Mikoa(Long distance relation Never Work) kanaenda Mkoa kaliopo kanaowakuta wanaanza kukatolea Macho tenaa😂💔inabaki kwake Achague kusuka Au Kunyoaa😂😂
 
1.6+ million hii ni pamoja na posho zake pia huyu ni ana bachelor ya kawaida manake kama atakuwa na I.T au MD itakuwa zaidi ya hapo au kama atakuwa na kitengo pia itakuwa zaidi ya hapo
Duh basi wako chini sana,Ukilinganisha na wale wa Degree Bakabaka hiyo 1.6M kule labda ni la 7 ndio anapata.
 
Back
Top Bottom