pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,229
- 1,687
Nisahihi kuna kamanda mmoja alishalalamika kuhusu mishahara midogo ambayo wanapokea polisi video yake ilisambaa sana . Akasema kwamba nikama wanalaana maana pesa anayopokea afisa mdogo tu halmashauri anamzidi mbali sana askari mwenye cheo kikubwa tu mwenye uzoefu zaidi ya miaka
Mkuu naikumbuka hiyo video ila na wewe wewe ukaichukua kama ulivyo?Nisahihi kuna kamanda mmoja alishalalamika kuhusu mishahara midogo ambayo wanapokea polisi video yake ilisambaa sana . Akasema kwamba nikama wanalaana maana pesa anayopokea afisa mdogo tu halmashauri anamzidi mbali sana askari mwenye cheo kikubwa tu mwenye uzoefu zaidi ya miaka 10
Halmashauri Hawa hawa?
Basi twende mdogo mdogo kuna maswali nataka nkuulize! Yule Poti nakumbuka alikuwa ni Sgt wa Polisi na elimu yake tuseme ni form 4 sasa nakuuliza halmashauri wanaajiri mtu mwenye elimu ya form 4?
Na kama ni hamna basi huyo wa halmashauri unatakiwa umtafute angalau Polisi mwenye diploma, degree na kuendelea huko ili wawe sawa, sasa wakiwa sawa kielimu unadhani nani atatoboa hapo?