BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,417
- 12,987
Tupe connection mkuu sasamajeshi yote, achana na pamoja Santa anayetaka kulinganisha kitenge na polisi interms of malipo
Tupe connection mkuu sasamajeshi yote, achana na pamoja Santa anayetaka kulinganisha kitenge na polisi interms of malipo
🤣🤣🤣🤣🤣 Pumbavu sana- unajua salary scale za polisi na bakabaka zinafanana?
-
Kamba ipi mkuu, embu tuelimishe maana kila mtu anakuja na zake.Watu Tunapigana Sana Kamba Aiseee😀😂😂😂
komaa kuchukua rushwa za barabarani ununue subaru koplo🤣🤣🤣🤣🤣 Pumbavu sana
HahahhahWatu Tunapigana Sana Kamba Aiseee😀😂😂😂
basi tufanye hivi Kwa maslahi (posho,salary nk) wa kwanza niWatu Tunapigana Sana Kamba Aiseee😀😂😂😂
Ndo ufatilie sasa jipe Quiz..! Kuhusu kulipwa na kutofika 3M ni mmekaririshwa, kitu ambacho hujui ni kuwa kwenye majeshi wanalipa kulingana na rank na elimu Inategemea ni ana cheo gani pia! Sasa ukisema mtu hafiki 3M ni ujinga mtupuZaidi ya hiyo ngapi? Unajua ukisikia hizo posho wanazojisifu nazo utadhani ni hela kubwa kumbe hela yenyewe jumla inacheza bado kwenye 1M-1.9m haifiki hata 3M
Unaujua mshahara wa Polisi mwenye taaluma ya uRubani?hata ukiongeza posho ya mazingira magumu, haifiki 2M,
Issue unaanzia kwenye mishahhara ni midogo ingekuwa DEgree polisi anaanza na salary ya 2.5M, ukiongeza an posho zake anaweza ifikia 3m jumla
Anhaa kumbe kumbe ni unajua tu ya kwamba huyu anamzidi huyu lakini hujui wanacholipwa! Sawa-chukua mfano linganisha nyota 2 za polisi na nyota mbili za bakabaka
-Nani Ana salary scale kubwa,?
Hakuna mtu hapa aliyekataa ya kwamba TPDF wapo juu ila shida ni kwamba unaongeza chumvi sana kwenye mishahara ya TPDFUnatarajia mtu akwambie salary yake real? Wewe linganisha Koplo wa polisi an koplo bakabaka nani yuko juu interms of kila aspect ya malipo.
Hivi unaelewa kweli wewe jamaa! Kwani shida ni kutofautiana au shida ni kuongeza chumvi kwenye mishahara Yao? Jitafakari mzee-yaani hata humu ndani JF watakushangaa unapolinganisha Police na bakabaka interms of malipo
Hahaha! Kwani mzee we ni professa wa wapi mbona umekomalia sana hapo wakati hoja haikuwa hiyomajeshi yote, achana na pamoja Santa anayetaka kulinganisha kitenge na polisi interms of malipo
Ngoja nikuambie kitu Associate Professa humu ndani hamna mtu aliyekataa kwamba TPDF kwenye majeshi wanalipwa mishahara zaidi ya majeshi mengine na hata dunia inajua hivyo ila tunachokataa hapa ni wewe kuongeza chumvi kiasi kwamba mpaka tunashangaa humubasi tufanye hivi Kwa maslahi (posho,salary nk) wa kwanza ni
1. POLISI
2. MAGEREZA
3. KITENGE\BAKABAKA
umeridhika
Mjadala ufungwe, ushakubali bakabaka\batiki wako juu kuliko majeshi yote na hicho ndio kilikuwa ndio msingi wa hoja yanguHakuna mtu hapa aliyekataa ya kwamba TPDF wapo juu ila shida ni kwamba unaongeza chumvi sana kwenye mishahara ya TPDF
- hoja ya msingi ilikuwa ni kwa vyeo vya kuanzia na vinavyofanana nikatoa mfano wa nyota mbili polisi na nyota mbili ya bakabaka nani yupo juu,Ndo ufatilie sasa jipe Quiz..! Kuhusu kulipwa na kutofika 3M ni mmekaririshwa, kitu ambacho hujui ni kuwa kwenye majeshi wanalipa kulingana na rank na elimu Inategemea ni ana cheo gani pia! Sasa ukisema mtu hafiki 3M ni ujinga mtupu
chumvi gani niliyoweka au umeona mapato ya degree holder ni yakienda bakabaka hayana level ya Degree kwa kuleHivi unaelewa kweli wewe jamaa! Kwani shida ni kutofautiana au shida ni kuongeza chumvi kwenye mishahara Yao? Jitafakari mzee
-pesa nje ya mshahara hiyo ni rushwa, kwa sababu polisi haipo kwenye taasisi zenye perdiem na vikao vingi kama TARURA,EWURA,LATRA,TANROADS,TANESCONgoja nikuambie kitu Associate Professa humu ndani hamna mtu aliyekataa kwamba TPDF kwenye majeshi wanalipwa mishahara zaidi ya majeshi mengine na hata dunia inajua hivyo ila tunachokataa hapa ni wewe kuongeza chumvi kiasi kwamba mpaka tunashangaa humu
Pia ukija kwenye fursa yani mishindo achana na rushwa namaanisha pesa halali nje ya mishahara
PT wanongoza
TISS
JW
na kuendelea huko
-polisi wangapi ni marubaniUnaujua mshahara wa Polisi mwenye taaluma ya uRubani?
Mjadala ufungwe, ushakubali bakabaka\batiki wako juu kuliko majeshi yote na hicho ndio kilikuwa ndio msingi wa hoja yangu
Hapana shida sio kukubali kwamba wao wanalipwa zaidi shida ni kuwa wewe unaongeza chumvi kiasi kwamba hata wao wakiona wanachekaMjadala ufungwe, ushakubali bakabaka\batiki wako juu kuliko majeshi yote na hicho ndio kilikuwa ndio msingi wa hoja yangu