Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Hiyo unayoongelea wewe ni wazee wa kizamani ambao walikuwa wakiamini katika kufanya starehe na hichi kitu kilikuepo kwenye majeshi yote sasa hivi vijana wanafanya mapinduzi wanajenga na kununua usafiri bila shida yoyote.

Mimi nimeishi na nkakulia Kota za TPDF nimeona wazee wengi wakikaribia kustaafu wanajengewa nyumba kwa lazima kupitia mishahara yao na Jeshi sasa hapo utasema nini.

Kwahiyo ukija kwenye mentality majeshi yote huwa yanafanana zama zimebadilika na kile kizazi cha starehe kinamalizika kwenye majeshi na vijana wapo kwenye hatamu na wanajitahidi kwenye kufanya vitu vya msingi
Nazungumzia general tu ni kama ilivyo kwa waalimu kuna sector hapa nchini zinajulikana kwa vipato vidogo sana mfano waalimu na askari ukitoa TPDF na sio kwamba ni kosa ni mifumo ya nchi ndio ilivyo
 
Hiyo unayoongelea wewe ni wazee wa kizamani ambao walikuwa wakiamini katika kufanya starehe na hichi kitu kilikuepo kwenye majeshi yote sasa hivi vijana wanafanya mapinduzi wanajenga na kununua usafiri bila shida yoyote.

Mimi nimeishi na nkakulia Kota za TPDF nimeona wazee wengi wakikaribia kustaafu wanajengewa nyumba kwa lazima kupitia mishahara yao na Jeshi sasa hapo utasema nini.

Kwahiyo ukija kwenye mentality majeshi yote huwa yanafanana zama zimebadilika na kile kizazi cha starehe kinamalizika kwenye majeshi na vijana wapo kwenye hatamu na wanajitahidi kwenye kufanya vitu vya msingi
Hayafanani huwezi linganisha jwtz na askari magereza bro au zimamoto.
 
Sahihi kabisa! Ila tunachokukatalia ni kuwa wewe unaongeza chumvi kana kwamba jamaa wanakunja pareeefu! Hapa sisi tulikuja kukukatalia umeongeza mbwembwe na nkakwambia kabisa TPDF mshahara wanao mkubwa lakini wewe umongeza sana

Hahaha huyo SP ni wa nchi gani Burundi au wa nchi gani anayepokea hicho kiasi, hakuna SP wa jeshi lolote anayepokea hicho kiasi hapa Tanzania yani ni kidogo mno Mkuu asee hata kama wizard ya mambo ya ndani mnasema wanalipwa kiduchu lakini hivyo sasa mnawadogosha mno
-umekubali kwamba msingi wa hoja ulikuwa ni kulinganisha and not otherwise
-nilitaka kuonesha kuwa huko police etc wanalipwa chenji tu
- kwa hiyo salary scale ya SP ni 5M si ndio , basi tuseme sp 5m , ssp 6m, scp7m, sacp 8m, dcp 9m, umeridhika
 
Yani wewe vitu vingi hujui mzee, hizo perdiem sema usaidiwe

Narudia tena wewe mambo ya mission hujui nimekwambia hapo juu mission za bakabaka na polisi wapo na mission za polisi wanaenda polisi tu.

☆Inawezekana huelewi nnachokuambia hapa ngoja nkufafanulie kwenye vyuo vya mafunzo au kozi basic za Polisi na TPDF, Polisi mitaala yao inaruhusu kufanya kazi za TPDF ila TPDF ni ngumu sana kufanya kazi za kiPolisi ndo maana nakwambia kwenye mission za TPDF Polisi wapo ila mission za Polisi TPDF hawapo.

Halafu kingine umesema magereza wanaenda mission nakuuliza wanaenda wapi na wanaenda kufanya nini
perdiem nazijua vizuri kukuzidi, perdiem inatagemea cheo chako, na inategemea uko taasisi gani perdiem ya ofisa wa tra,ppra sio sawa na perdiem ya ofisa wa polisi
 
police bado kuna ofisa analipwa salary 900-1m sasa unatarajia huyo akienda kukopa benki si anapata hela ndogo tu
Nisahihi kuna kamanda mmoja alishalalamika kuhusu mishahara midogo ambayo wanapokea polisi video yake ilisambaa sana . Akasema kwamba nikama wanalaana maana pesa anayopokea afisa mdogo tu halmashauri anamzidi mbali sana askari mwenye cheo kikubwa tu mwenye uzoefu zaidi ya miaka 10
 
Hayafanani huwezi linganisha jwtz na askari magereza bro au zimamoto.
Kwa mshahara huwezi ukafananisha kama ulivyosema hapo Jwtz na magereza au zimamoto sababu kuna mmoja hategemei mshahara tu ila hao wawili wanategemea mshahara ila kwa maPolisi mzee haya majamaa yana vihela vingi vingi tena vya halali kabisa ko unakuta kwa mwezi wapo sawa au nawapiga ka gape kabisa
 
-umekubali kwamba msingi wa hoja ulikuwa ni kulinganisha and not otherwise
-nilitaka kuonesha kuwa huko police etc wanalipwa chenji tu
- kwa hiyo salary scale ya SP ni 5M si ndio , basi tuseme sp 5m , ssp 6m, scp7m, sacp 8m, dcp 9m, umeridhika
Ulitaka nikukubalie kitu ambacho hakipo mkuu
 
police bado kuna ofisa analipwa salary 900-1m sasa unatarajia huyo akienda kukopa benki si anapata hela ndogo tu
Huyo Ofisa gani anaelipwa huo mshahara mzee unajua usiongee vitu ambavyo huvijui na kufurahisha genge hapa kama constable analipwa zaidi ya hiyo huyo ofsa ni yupi huyo
 
perdiem nazijua vizuri kukuzidi, perdiem inatagemea cheo chako, na inategemea uko taasisi gani perdiem ya ofisa wa tra,ppra sio sawa na perdiem ya ofisa wa polisi
Sgt wa Polisi perdiem yake shingapi kama unajua maana sasa wewe unakoelekea ngoja tukushikie mapanga ili ujione kwamba huna unalolijua
 
Huyo Ofisa gani anaelipwa huo mshahara mzee unajua usiongee vitu ambavyo huvijui na kufurahisha genge hapa kama constable analipwa zaidi ya hiyo huyo ofsa ni yupi huyo
-Acha kudanganya watu hakuna constable formiv analipwa huo mshahara, labda awe na degree kwenda juu
- hiyo ni range ni mshahara wa a/inspector
 
Kwa mshahara huwezi ukafananisha kama ulivyosema hapo Jwtz na magereza au zimamoto sababu kuna mmoja hategemei mshahara tu ila hao wawili wanategemea mshahara ila kwa maPolisi mzee haya majamaa yana vihela vingi vingi tena vya halali kabisa ko unakuta kwa mwezi wapo sawa au nawapiga ka gape kabisa
-kama umekubali kwamba kwa mshahara hamfikii bakabaka basi hoja yangu inashihitimishwa kuwa mko chini compared to bakabaka
-Acha utapeli,polisi ana hela gani nyingi nyingi za halali? Hizo ni Rushwa, za aina mbalimbali
 
Back
Top Bottom