Hizo Kuna watoto wa mafisadi wanataka wachomekwe huko wakaona wazitangaze kinafkiAsalam Aleykum wanajamvi nia na Nia na mazumuni ya uzi huu nitupeane updates ya taarifa mbali mbali kuhusu ajira mpya za jwtz 2026
Ilo linaeleweka ila kanuni ni moja tu bora kushindwa ukijaribu kuliko kujaribu kushindwa no matter umefeli mara ngap ni mwendo wakukaza buti tusonge mbeleH
Hizo Kuna watoto wa mafisadi wanataka wachomekwe huko wakaona wazitangaze kinafki
Umenena kwel mzee hakun mafanikio yanayokuja kirahisi muhimu tujuzane taarifa ili tusumbuwe mbanga mambo yaende ukikosa leo bado unayo nafasi yakuendelea kupambana badilisha formula njoo na mbinh nyengin mungu yupo naisi watafutajiAsanteni sana cronos kwa kuanzisha uzi huu muhimu! Ni kweli, masuala ya ajira hasa JWTZ huwa na gumzo na changamoto zake, na mara nyingi tunasikia mengi kuhusu hili na lile.
Lakini, kama ulivyosema vizuri sana cronos, muhimu ni kujaribu na kutokata tamaa. Bora kujaribu na kushindwa kuliko kutojaribu kabisa! Tusiache maneno ya pembeni yatuvunje moyo.
Tuendelee kupeana taarifa sahihi hapa na kusaidiana. Tunatumaini mchakato utakuwa wazi na wenye haki kwa wote wenye sifa na ari ya kulitumikia taifa. Kila la heri kwa wote wanaopambana!Asanteni sana kwa kuanzisha mjadala huu muhimu! Ni kweli, changamoto zipo na maneno mengi yanasemwa, lakini tusikate tamaa. Ni muhimu sana tuendelee kushirikishana taarifa za uhakika hapa zitakazotusaidia wote wenye ndoto ya kujiunga. Nami nipo hapa kusikiliza na kujifunza, na nikipata chochote cha uhakika nitashare. Tuendelee kukazana!
Hizi zimetangazwa tarehe 15 April na mwisho ni tarehe 28 April. Wacha vijana wajaribu!Sasa mbna kama umechelewa, vijana weng wamechukuliwa mwez wapili na tatu hapo.
Hebu fafanuwa vizuri kuhusu hii ronja naona inasomeka ika haielweki kidogSasa mbna kama umechelewa, vijana weng wamechukuliwa mwez wapili na tatu hapo.
ooh kumbe.Hizi zimetangazwa tarehe 15 April na mwisho ni tarehe 28 April. Wacha vijana wajaribu!
kiswahili chako ata sikuelew, naomba unifafanulie maana ya neno "ronja'Hebu fafanuwa vizuri kuhusu hii ronja naona inasomeka ika haielweki kidog
Ubarikiwe mtumishiUmenena kwel mzee hakun mafanikio yanayokuja kirahisi muhimu tujuzane taarifa ili tusumbuwe mbanga mambo yaende ukikosa leo bado unayo nafasi yakuendelea kupambana badilisha formula njoo na mbinh nyengin mungu yupo naisi watafutaji
Hakuna kuchoka kwenye kupambanaKuna wadau kila mwaka wanasikilizia ronja toka 2019, najiuliza hawazeeki au ndio wajeda wanavamia kila uzi wa kazi za Militia!
Aaaah kuna watu wana 30 nabeanaenda nchi yetu bika ya michongo hutoboiMsisahau wanapokea umri mwisho ni miaka 22 wameona huruma sana mwisho miaka 24 umevuka hapo fanya shughuli zingine
hata hamna kuna madogo hapa watano wameenda majuz tu na hamna mwenyej alie wakonect.Bila connection hutoboi