Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,177
- 9,608
HahahahDuh basi wako chini sana,Ukilinganisha na wale wa Degree Bakabaka hiyo 1.6M kule labda ni la 7 ndio anapata.
HahahahDuh basi wako chini sana,Ukilinganisha na wale wa Degree Bakabaka hiyo 1.6M kule labda ni la 7 ndio anapata.
hiyo sio polisi ni bakabaka ndio jeshi lililokuwa juu kwa kila kitu kuliko majeshi yotewKwa
Kwa mchanganuo Gani🤣🤣 kazi kudanganyana tu 😏😏😏
Mimi nna jamaa zangu bakabaka ukiwaambia hichi kitu wao wenyewe wanacheka wanasema hizo figure mnetoa wapi?Duh basi wako chini sana,Ukilinganisha na wale wa Degree Bakabaka hiyo 1.6M kule labda ni la 7 ndio anapata.
Polisi muongezee na posho ya mazingira magumu hapoDuh basi wako chini sana,Ukilinganisha na wale wa Degree Bakabaka hiyo 1.6M kule labda ni la 7 ndio anapata.
Kumaanisha ni ndogo sana au kubwa sana mkuu?Mimi nna jamaa zangu bakabaka ukiwaambia hichi kitu wao wenyewe wancheka wanasema hizo figure mnetoa wapi?
Njoo na uthibitisho mzeehiyo sio polisi ni bakabaka ndio jeshi lililokuwa juu kwa kila kitu kuliko majeshi yotew
Yani mnawa-overrate (ni kubwa)Kumaanisha ni ndogo sana au kubwa sana mkuu?
Na sasa hivi Polisi Wana zaidi ya hiyo mzeeDuh basi wako chini sana,Ukilinganisha na wale wa Degree Bakabaka hiyo 1.6M kule labda ni la 7 ndio anapata.
Yeah nilitegemea hilo jibu.Yani mnawa-overrate (ni kubwa)
Nimekuuliza kwa mchanganuo Gani?haujui 🤣 Sasa unajua kitu Gani? unajumlisha basic,Fani+ trade na RA?hiyo sio polisi ni bakabaka ndio jeshi lililokuwa juu kwa kila kitu kuliko majeshi yotew
Zaidi ya hiyo ngapi? Unajua ukisikia hizo posho wanazojisifu nazo utadhani ni hela kubwa kumbe hela yenyewe jumla inacheza bado kwenye 1M-1.9m haifiki hata 3MNa sasa hivi Polisi Wana zaidi ya hiyo mzee
hata ukiongeza posho ya mazingira magumu, haifiki 2M,Polisi muongezee na posho ya mazingira magumu hapo
-chukua mfano linganisha nyota 2 za polisi na nyota mbili za bakabakaNjoo na uthibitisho mzee
- unajua salary scale za polisi na bakabaka zinafanana?Nimekuuliza kwa mchanganuo Gani?haujui 🤣 Sasa unajua kitu Gani? unajumlisha basic,Fani+ trade na RA?
Unatarajia mtu akwambie salary yake real? Wewe linganisha Koplo wa polisi an koplo bakabaka nani yuko juu interms of kila aspect ya malipo.Mimi nna jamaa zangu bakabaka ukiwaambia hichi kitu wao wenyewe wanacheka wanasema hizo figure mnetoa wapi?
-yaani hata humu ndani JF watakushangaa unapolinganisha Police na bakabaka interms of malipoNjoo na uthibitisho mzee
Bakabaka na wazee wa kaunda je?-yaani hata humu ndani JF watakushangaa unapolinganisha Police na bakabaka interms of malipo
hao kama polisiBaka
Bakabaka na wazee wa kaunda je?
Basi kitenge wapo juuhao kama polisi
majeshi yote, achana na pamoja Santa anayetaka kulinganisha kitenge na polisi interms of malipoBasi kitenge wapo juu