Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Dah wadau bhana...
HAyo mambo ya kuwaza kustaafu yalikua zamani siku hizi wengi hawawazi kama watastaafu kwenye ajira hizo...
Uhuru wa kifedha upo kwenye harakati za biashara tu ...huko kwenye ajira tunasogeza maisha tu
- tunalinganisha aspects zote zote ili nani aonekane zaidi
 
- tunalinganisha aspects zote zote ili nani aonekane zaidi
Kwenye majeshi yote JW wanajitahidi ..ila kwa maoni yangu Jeshini ingia na ELIMU aise
Kwa maoni yangu UHAMIAJI na ZIMAMOTO pazuri maana Utapata muda wa kufanya harakati zako vzuri sana yani unapiga harakati na kazini unaingia fresh tu
 
Back
Top Bottom