Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Mkuu Nakfa hii mishahara ni kwa ajlliye ajiriwa Leo kuanzia kazi au unazungumzia mishahara au kwa askari ambaye ameshakaa kazini
Hii ni mtu ana 680 ni ya SGT ana 10+ years kazini hiyo 400 ya constable ni ambaye hana miaka zaidi ya minne kazini
 
Usiwe mbishi yani acha kabisa kuwa mbishi kwenye hili na kama unaendelea kubisha sema
We tokea mwanzo uliona me nabishana hapa? Narudia tena hii 2026 hakuna constable mwenye elimu ya form 4 anaepokea 470k kma ulivyodai narudia tena hakuna!
 
Sasa 470,000/- halafu bado haijapigwa tax, hapo hata uwe ACP bado salary scale itakuwa chini, kwa sababu ili ujue taasisi inalipa salary nzuri Huwa tunaangalia the lowest salary ni sh ngapi, kama the lowest ingekuwa letsay 1.5m basi wakubwa wao wangekuwa mbali mno.
 
Back
Top Bottom