Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Mkuu Nakfa hii mishahara ni kwa ajlliye ajiriwa Leo kuanzia kazi au unazungumzia mishahara au kwa askari ambaye ameshakaa kazini
 
Mshara wa constable chief hauzidi laki 4 na 70 au niweke salary slip ya mwaka huu?
Unajua humu ndani nilichogundua wengi wenu ni wajuaji halafu hamna kitu mnajua

Haya nakuuliza wewe tuchukulie mfano juzi hapa kuna madogo wamemaliza kozi na maMD mule sasa unataka kusema kwamba MD wa Polisi analipwa salary scale ya mtu form four? Jibu ni hapana, kwanza unaujua mshahara wa constable mwenye professional ya Medical Doctor au Rubani!

Acheni kukariri wakuu halafu humu kila mtu akija anakuja data sizo kwani mnashida gani asee

Haya nakuuliza sasa huyu Constable aliyeanza na mshahara wa 1.6M+ mafao yake yatakuwa ni 30M kama unavyodai wewe hapo juu?

Haya constable kaingia labda na diploma ya afya analipwa 1.02M huyu mafao yake yatakuwa kama unavyodai wewe?

kwa hiyo acheni kuchanganya mambo ulizeni mueleweshwe
 
Mzee unapoteza muda mwingi sana humu kuelewesha hawa wajuajii waliokariri na kumezeshwa kwa stori za mtaani na hakuna wanachojuaaa...hebu achana naoo waendelee kukaa na ujinga waooo
 
- na hoja yangu ya msingi uliielewa, kwamba mko chini compared to bakabaka wako mbele
Nyie mnaidharau sana Polisi,,,mnasahau kwamba wao wana extra duty ambazo zinawaingizia pesa za nje ya mshahara.
Mfano : Lindo Benki 20K per day unaingia wiki 1 siku7(140k) bakabaka muda huo yupo camp kwake tu haingizi kitu anasubiri mshahara
Polisi akiwa kwenye Mkoa Mzuri kama Geita,,Shinyanga,,Musoma,,Tarime kule kuna Migodi wanaingia Operations mule kufanya ulinzi(Mfano Geita pale GGM week2 unakunja 800K) sasa bakabaka wenu hizo extra hawana ndo wanapigwa bao Hapoo
 
TEna polisi akiwa field force kwenye hio mikoa yenye migodi...Aisee wale wanaingiza pesa sana kwa maana operation za kufanya ni nyingii wanamachaka mengi ya extra ambayo wanapata pesa halali nje ya mshahara sio yule anaesubiri mshahara tuu pekee mwezi mzimaa lazimaa utaliaa tuu...si tunao wanetu hao baka mbona wanalia tuu 😂😂
 
-140k ,800k ni hela?
- unajua gape lililopo kati ya bakabaka na police?
-
 
TEna polisi akiwa field force kwenye hio mikoa yenye migodi...Aisee wale wanaingiza pesa sana kwa maana operation za kufanya ni nyingii wanamachaka mengi ya extra ambayo wanapata pesa halali nje ya mshahara sio yule anaesubiri mshahara tuu pekee mwezi mzimaa lazimaa utaliaa tuu...si tunao wanetu hao baka mbona wanalia tuu 😂😂
- hayo machaka ni Rushwa
 
Back
Top Bottom