Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Kila siku najijuta naurudia huu uzi daah ni uzi pendwa sana kwangu natamani niudownload niweke kumbukumbu ya hizi chart
 
Bado unabisha nikuwekee na wa ACP ufe kabisa
-Unaweza ukakuta ACP anazidiwa mshahara na ofisa anayeanza kazi wa tra
Posho zao ni ndogo kutokana na pia mishahara yao ni midogo, kwa sababu posho zinakokotolewa kwa asilimia, hivyo kama mshahara ni mdogo na posho ndogo
- mfano ule mshahara alioweka posho ni 10%, 15% angekuwa na salary scale ya 5 angepata posho ya kwanza laki5, ya pili 750k, at least
 
Mzee vyombo vya ulinzi na usalama ni kujitoa mzee so maswala ya mishahara kushindanish unakuwa upumbavu
 
Back
Top Bottom