Mzee mbona unatukana! Au unahisi wengine matusi hawawezi?
Narudia tena hiyo salary slip sio ya hivi karibuni au unahisi hizo slips hatuna?
Cha kwanza huna unachojua, cha pili umeweka slip ambayo haina baadhi ya allowance sasa unasemaje kwamba ni recent mimi nnaweza nkakutumia hapa slip kukuonesha tarehe tu tena ni ya mwezi huu, acha dharau mzee
- kumbe mshahara wa nyota tatu ni 1.5m pesa ndogo sana hii yaani hadi kupata nyota tatu it takes years kumbe salary scale yenyewe 1.5m,
- Ofisa wa Tarura anayeanza kazi anapata 2.2+ M anamzidi hadi SSP