Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Imefutwa hiyo slip
Ila inaonesha mshahara ni 478k, posho ni 47800/-, posho 71700/- (sijui ni posho za nini)
-😅😅
Anhaa kumbe ilifutwa! Ila nataka niseme kitu hapa huo mshahara hapokei constable!

Hiyo salary slip sio ya recent, hiyo ni ya nyuma, constable alishatoka kwenye huo mshahara Mkuu!
 
Anhaa kumbe ilifutwa! Ila nataka niseme kitu hapa huo mshahara hapokei constable!

Hiyo salary slip sio ya recent, hiyo ni ya nyuma, constable alishatoka kwenye huo mshahara Mkuu!
- ngoja tusubiri majibu ya Nakfa kwenye hili, ila Mimi naamini ni around 470-500k not that much
 
Hilo Jeshi la konstebo kulipwa 470k ni la wapii!?? Mbona mnadanyana sanaa humuu!??jf mitaa ya wajuajiii kama kawaida nilisahauu😀😂😂
 
Anhaa kumbe ilifutwa! Ila nataka niseme kitu hapa huo mshahara hapokei constable!

Hiyo salary slip sio ya recent, hiyo ni ya nyuma, constable alishatoka kwenye huo mshahara Mkuu!
Wewe ni mjinga tena PUMBAVU kabisa, hiyo ni salary slip ya mwezi March mwaka huu PELEKA UPUNGUANI HUKO
 
Nimehisi hivyo maana hata mwalimu wa certificate ndio scale zake hizo
Kumbe mlitaka nifanye exposure ya taarifa binafsi za mtu?
Itoshe tu kusema hiyo mliyoiona ni salary slip ya mwezi march
 
Laiti ingekuwa inaruhusiwa kuweka salary slip za watumishi wa umma ningeweka za Polisi zoooote kasoro CP na IGP.

Ila kwa kuwa najua ni kosa basi tutaenda kwa maelezo hivi hivi usiporidhika au kuamini shauri yako.
 
Wewe ni mjinga tena PUMBAVU kabisa, hiyo ni salary slip ya mwezi March mwaka huu PELEKA UPUNGUANI HUKO
Mzee mbona unatukana! Au unahisi wengine matusi hawawezi?

Narudia tena hiyo salary slip sio ya hivi karibuni au unahisi hizo slips hatuna?

Cha kwanza huna unachojua, cha pili umeweka slip ambayo haina baadhi ya allowance sasa unasemaje kwamba ni recent mimi nnaweza nkakutumia hapa slip kukuonesha tarehe tu tena ni ya mwezi huu, acha dharau mzee
 
Back
Top Bottom