Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

- unapigia kelele 140,k, 800k? 😀
Siwezi kubishana na nisiemjuaa huenda nabishana na zombi hapaa kaweka bando la jero anakuja kusumbuaa watuu...batawahed😜😜😜I'm out,,mwanaume anaekaa kubishania mishahara na perdiem za watu na ye ukute hajawahi hata kulambaa..hivi huo muda wa kufatilia mishahara,,perdiem za watu we kma mwanaume unautoa wapii😂😂😂na busy kunanga mitandaonii😀alafu unajiona uko sawaa😂😂🚮🚮
 
Bando la500? Ndilo unalowekaga sio
 
- na hoja yangu ya msingi uliielewa, kwamba mko chini compared to bakabaka wako mbele
Mbona unapenda nirudie sana hichi kitu ni na nilikuambia kabisa HATA DUNIA INAELEWA KUWA KWENYE TAASISI ZA KIJESHI HAPA BONGO TPDF WAPO VIZURI NA HIKI KITU NIMEKIRUDIA SANA lakini shida yako na ambayo nakukatalia ni kuwa ni kwamba UNAVYOWATOA HAPA SHAHIDI ZAKO YANI UTAFIKIRIA KILA ASKARI KULE ANALIPWA MIPESA MIIINGI ambapo kiuhalisia nwanalipwa pesa ya kawaida tu kulinganisha na taasisi zingine za kiraia ambazo kuna raia Zina kunja parefu tu

Kingine unaposema "mna" asee mimi sifanyi huko unakokusema

Kingine TPDF mwanzo walikuwa wanakopa na kupata mikopo mikubwa sababu wao walikuwa wanakopea mpaka posho zao sasa hivi gues what! Hahah!
 
  • kwa salary scale, hawawazidi bakabaka,
  • ila hayo mashirika walichowazidi bakabaka labda ni ile extraduty allowance wanayopewa flat rate hadi 1.8m
Ngoja nkuulize kitu hapa unaujua mshahara wa Askari wa Tpdf mwenye degree anayeanza kazi leo? Sasa kama unaujua huo mshahara katafute pia mshahara wa raia aliyeajiriwa leo Ewura au Tpdc halafu compare
 
Uko sahihi kabisa me nna ndugu kibao Tpdf na Polisi kwa hapa mtu hanidanaganyi
TEna polisi akiwa field force kwenye hio mikoa yenye migodi...Aisee wale wanaingiza pesa sana kwa maana operation za kufanya ni nyingii wanamachaka mengi ya extra ambayo wanapata pesa halali nje ya mshahara sio yule anaesubiri mshahara tuu pekee mwezi mzimaa lazimaa utaliaa tuu...si tunao wanetu hao baka mbona wanalia tuu 😂😂
 
Siwezi kubishana na nisiemjuaa huenda nabishana na zombi hapaa kaweka bando la jero anakuja kusumbuaa watuu...batawahed😜😜😜I'm out,,mwanaume anaekaa kubishania mishahara na perdiem za watu na ye ukute hajawahi hata kulambaa..hivi huo muda wa kufatilia mishahara,,perdiem za watu we kma mwanaume unautoa wapii😂😂😂na busy kunanga mitandaonii😀alafu unajiona uko sawaa😂😂🚮🚮
😂😂😂
 
Hapa ndo nakuja kuamini kuwa wewe akili huna
  • mwenye akili ni wewe,
  • unaumia kwa sababu nimekuonesha kuwa hivyo ni vihela vidogo sana,laki8,140k
  • - ungekuwa na akili usinge kimbilia uaskari, ungepambana kama wenzio waliofanya mitihani ya interview ya taasisi kama tra nk
-kama mshahara wako ukienda bank kuchukua mkopo hukopi kuanzia 90m+ wewe bado unajikongoja
 
Mbona unapenda nirudie sana hichi kitu ni na nilikuambia kabisa HATA DUNIA INAELEWA KUWA KWENYE TAASISI ZA KIJESHI HAPA BONGO TPDF WAPO VIZURI NA HIKI KITU NIMEKIRUDIA SANA lakini shida yako na ambayo nakukatalia ni kuwa ni kwamba UNAVYOWATOA HAPA SHAHIDI ZAKO YANI UTAFIKIRIA KILA ASKARI KULE ANALIPWA MIPESA MIIINGI ambapo kiuhalisia nwanalipwa pesa ya kawaida tu kulinganisha na taasisi zingine za kiraia ambazo kuna raia Zina kunja parefu tu

Kingine unaposema "mna" asee mimi sifanyi huko unakokusema

Kingine TPDF mwanzo walikuwa wanakopa na kupata mikopo mikubwa sababu wao walikuwa wanakopea mpaka posho zao sasa hivi gues what! Hahah!
-bakabaka wako juu
  • na huu ndio msingi wa hoja
  • 😀
 
Ngoja nkuulize kitu hapa unaujua mshahara wa Askari wa Tpdf mwenye degree anayeanza kazi leo? Sasa kama unaujua huo mshahara katafute pia mshahara wa raia aliyeajiriwa leo Ewura au Tpdc halafu compare
- naujua ndio na WA ewura naujua,ndio maana nikakwambia wanazidiana kwenye extraduty allowance
-
 
TEna polisi akiwa field force kwenye hio mikoa yenye migodi...Aisee wale wanaingiza pesa sana kwa maana operation za kufanya ni nyingii wanamachaka mengi ya extra ambayo wanapata pesa halali nje ya mshahara sio yule anaesubiri mshahara tuu pekee mwezi mzimaa lazimaa utaliaa tuu...si tunao wanetu hao baka mbona wanalia tuu 😂😂
Daaah hadi nimecheka aise..oya wana eeh mambo kwa ground ni tofauti sana
 
Back
Top Bottom