Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

- muongozo wa perdiem ni flat rate except kwa mashirika ya umma the rest ni normal rates
-Kama mpaka Leo laki4 unaiona ni pesa ya maana basi kipato chako ni cha chini mno, wenzio wanachukua posho hadi 4m na ni Jr officers tu kwenye mashirika ya umma
Huna hulijualo mkuu tatizo lako ni kutaka kufananisha taasisi za kiraia na za kijeshi hapo ndo unapotea hiki kitu acha kabisa hawa vitu wanavyovipata ni tofauti kabisa na wanavyovipata taasisi za kiraia

Umeishiwa hoja nini mkuu, kuna mahala nimesema kuwa hiyo laki nne ni kubwa au ndogo au nimekuuliza kuwa na wao wanaipata au hawaipati inaonekana we utakuwa mzee wa kupenda ligi sana hata kama vitu havihitaji ligi mkuu

Me nimekuuliza je wanaipata ila kuhalalisha hoja yako sasa kama hawaipati unapataje nguvu ya kutaka kuhalalisha hoja yako kuwa wanatumia scale sawa
 
- bakabaka wamo ni nyie Mambo ya ndani tu ndio mko chini
-ulizia mafao ya staff sgt wa Bakabaka kama yanalingana na staff sgt wa police utaoja gap
Hivi unajua mimi nafanya kazi taasisi gani mkuu? Maana ushaanza kunipa uPolisi sasa

Hakuna mtu ambae hicho kitu ila wewe ni ubishi wako tu ila mbona huongelei fursa walizonazo majamaa hahaha maPolisi, inaonekana yalishakufanyaga mbaya sana sio
 
Ila polisi na walimu watabaki kuwa wafanyakazi wenye kipato kidogo sana hapa nchini.
Kidogo traffic tena kwenye majiji makubwa nao kunapesa bado inabidi wapeleke kwa wakubwa.
Acha kumfananisha Polisi na Mwalimu Polisi ana uhafadhali

Kwani Traffic sio Polisi?

Aliyekwambia kuwa wanapeleka kwa wakubwa ni nani hao wanaokamatwa barabarani kwa rushwa wangekuwa wanaondoka na wakubwa zao sasa siku wakifukuzwa
 
Inawezekana kweli anazidiwa na huyo ofisa wa tra lakini nakwambia hakuna SP sijui wa Zimamoto,Magereza,Uhamiaji na Polisi anaelipwa 1.5M na hata kabla ya ongezeko la juzi walikuwa hawalipwi hivyo, wewe shida yako unaokoteza taarifa

Ungeaza kuuliza kwamba SP analipwa ngapi watu tungekujibu kama kuna ulazima lakini kwa kuwa umekuja moja kwa moja kwamba wanalipwa kiasi flani basi na sisi ngoja tukae kimya
Hii 1.5 ni mshahara wa ASP huu
 
Huna hulijualo mkuu tatizo lako ni kutaka kufananisha taasisi za kiraia na za kijeshi hapo ndo unapotea hiki kitu acha kabisa hawa vitu wanavyovipata ni tofauti kabisa na wanavyovipata taasisi za kiraia

Umeishiwa hoja nini mkuu, kuna mahala nimesema kuwa hiyo laki none ni kubwa au ndogo au nimekuuliza kuwa na wao wanaipata au hawaipati inaonekana we utakuwa mzee wa kupenda ligi sana hata kama vitu havihitaji ligi mkuu

Me nimekuuliza je wanaipata ila kuhalalisha hoja yako sasa kama hawaipati unapataje nguvu ya kutaka kuhalalisha hoja yako kuwa wanatumia scale sawa
;-vitu wanavyopata majeshi ni tofuati na vitu wanavyopata taasisi za kiraia, sasa ni vitu gani vya maana mnavyopata except bakabaka, ikiwa taasisi za kiraia nyingi ndio ziko mbele yenu kwa mishahara mfano tu kuna afisa jr mambo ya ndani anaanza na mshahara wa 3.2m?
 
Hahaha unajifanya hujui wanachowazidi
 
Hivi unajua mimi nafanya kazi taasisi gani mkuu? Maana ushaanza kunipa uPolisi sasa

Hakuna mtu ambae hicho kitu ila wewe ni ubishi wako tu ila mbona huongelei fursa walizonazo majamaa hahaha maPolisi, inaonekana yalishakufanyaga mbaya sana sio
  • sasa wewe si unajidai unayajua ya mambo ya ndani? Unaona aibu kusema ni askari tutakuona wa hali ya chini.
  • Mimi nimuonee wivu mtu chapati hata salary na posho 7m?
 
  • sasa wewe si unajidai unayajua ya mambo ya ndani? Unaona aibu kusema ni askari tutakuona wa hali ya chini.
  • Mimi nimuonee wivu mtu chapati hata salary na posho 7m?
Hahaha! Ila we jamaa bhana mpaka mda huu uamini macho kuwa Sgt anakunja 150k perdiem

Hiyo ya wivu umesema wewe mimi walaaaa
 
Hahaha! Ila we jamaa bhana mpaka mda huu uamini macho kuwa Sgt anakunja 150k perdiem

Hiyo ya wivu umesema wewe mimi walaaaa
- laki150 hiyo sio perdiem yake.
-sasa nimuonee wivu mtu analipwa mshahara laki7?
- unajua sgt akistaafu mafao yake hayazidi 30m? Si kila siku wanalia mafao kidogo ni kwa sababu mshahara ni chini
 
Umeona sasa ulivyo hujui vitu na nimekwambia hapa wewe mzee huku majeshi hujui kitu ni bora uulize uambiwe

Kuna maConstable wanakula mshahara wa 1.5M na ni nje ya posho zake zote na huyo kaanza leo kazi
Mshara wa constable chief hauzidi laki 4 na 70 au niweke salary slip ya mwaka huu?
 
- laki150 hiyo sio perdiem yake.
-sasa nimuonee wivu mtu analipwa mshahara laki7?
- unajua sgt akistaafu mafao yake hayazidi 30m? Si kila siku wanalia mafao kidogo ni kwa sababu mshahara ni chini
Sikia mzee wewe jua hivyo na mimi acha nijue hivyo nimemaliza
 
Back
Top Bottom