Associate Professa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2026
- 419
- 551
-huo upande naujua vizuri, kwa sababu Nina Access yakuona perdiem za sehemu nyingi sana, nyingine ni siri siwezi kuzitajaNidanganye umati ili nitafute nini na kwanini nifanye hivyo?
Nimekwambia tokea mwanzo huu upande hujui kitu ila bado king'ang'anizi na nkwambia kabisa kama hujui ni bora kuuliza kuliko kujidhalilisha kama hivi, unashangaa Sgt kupokea hiyo sasa hao maOfsa uliokuwa unawasema wanakunja ngapi!
Wewe kinacho kuharibia ni either ulikaririshwa mda sana Enzi hizo kwa hiyo hadi leo unatembea na zile figure au ni ubishi tu wa kutoamini kila kitu chenye ukweli kuhusu maPolisi
-basi tuseme sgt anapata perdiem 500k kwa siku umeridhika?