pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,229
- 1,687
Sasa kama una access ya kuona hizo perdiem za sehemu nyingi mbona unadanganya hapa, nimekuuliza tu ya Sgt hujui unataka nikueleweje?-huo upande naujua vizuri, kwa sababu Nina Access yakuona perdiem za sehemu nyingi sana, nyingine ni siri siwezi kuzitaja
-basi tuseme sgt anapata perdiem 500k kwa siku umeridhika?
Narudia tena usijifanye mjuaji uliza bro kuliko kujifanya mjuaji halafu hujui, eti officers ni laki na nusu na kwa non officers ni laki moja huu ujinga wapelekee machizi