KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,848
- 2,447
twende wote tuu...Napita tuu mie
twende wote tuu...Napita tuu mie
So Nimesema napenda mwanaume kama Connor anavyotukana mi napata raha kweliahahahaa oke dina hujanijibuu
Wanakosa kujiamini tu. Umeamua kuwa nae. Kwa nini anaweka vitu hasi akilini mwake!??Na mahusiano yakishakuwa na mashaka mengi huwa mwisho unakua karibu!
Ila ni kwa nini wanaume wanaishi kwa mashaka sana!?
Leo nipo kwenye tafakuri nzito ya hatma ya mahusiano yangu!
Achaaa tuu mkuu...Ilikuaje mkuu?
Hahahahahhh......jf rahaa sana kumbe kuna watu wanapendwa kutoka moyon ila wao hawajijui............Mi bwana kuna memba humu nampenda sana tatizo anaruka ruka kama maharage. Embu nisaidie nimfanyaje?
Ngabu achana nae utaumiza mtima wako bure hapo.... Lete hao wengine
Hahahahaa.. hana tofauti na kitunguu saumu eeeh
We nyau kama unaniongelea mimi?Mi nishajiachia tatizo yeye hana imani kabisa na mimi.
Ujikute tu ni wwWe nyau kama unaniongelea mimi?
Nyani ngabu wako watu wamemuiba.Ihihiii N huyu naemjua Mimi au?
Najitajaaaaaaaanikimmaliza ntakutajia sasa hivi subiri kwanza nimalizane nae.
HshahaUjikute tu ni ww
Ili mtu akupende lazima akutamani kwanza, love is a process, siyo instant action. Hiyo tamaa ndiyo baadaye huzaa upendo baada ya kuwa ameshaona attributes zingine zitakazomzamisha penzini!Unanipenda au wanitamani?
You NO longer believe in true love, yet you pray to the Lord akuletee someone special with true love!Wenye wapenzi hongereni mie niliye chitiwa sina hamu and I no longer believe in true love loh I know one day I will get someone who truly love me kwa moyo. Lord bring me someone special with true love and caring
Boss wangu mimi nawewe ni masingo. Hamna namna njoo tuu tudange Wote Valentine hiihuu ni mwezi wa mapenzi
tunaomba kila mtu atoe ushuhuda wa maisha yake ya mapenzi
je upo kwenye mapenzi na mtu?
kama ni mume/mke je ni kweli unampenda mwezako kimapenzi? na yeye je anakupenda au mpo tu kwa ajili ya watoto?
mimi nipo bilabila sina anaenipenda wapo wanaonitamani tu wanile papuchi wasepe ila sijawahi kuona mtu ananipenda sidhani . na mimi nimeacha kupenda penda .

Anajua sasa. Sema analeta pozi zile za sitaki nataka. Na mie niko hoiii. Nahisi anaweza kuwa hata beb wangu kwa mahaba haya nlonayo juu yake.![]()
![]()
![]()
![]()
Umenichekesha sana. Moto ukipunguzwa hatarukaruka. Mfungukie tu
Eeeeh. Wanajijua sema uoga. Hawajiamini.Hahahahahhh......jf rahaa sana kumbe kuna watu wanapendwa kutoka moyon ila wao hawajijui............