Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Kuna mtu nataka nianzishe naye mahusiano tena iwe couple imara kama the bold na nifah popote alipo ukipita hapa naomba u like nina upendo wako umejaaa gunia fanya haraka kabla sjabadilisha maamuzi wewe kaka unanitesa sana moyo wang

Nakupenda hata kama una sura mbaya maneno yako tu mm yananikosha mwezio hivi hauoni tu kama nakupenda

Likes zote hizo ninazokupa haujishitukiii wewe mtu gani?

Japo ulininyima kapicha kako kwa kuogopa eti una sura mbaya
Aliyekwambia mm napenda handsome nan mm napenda mtu anayeshuka madini

Hebu acha kunitesa mtoto wa mweziooo wewe kaka jaman

Wacha nilie tu hakuna namna
Ume ongea kwa uchungu sana wacha nijitokeze tuu here i am babe am willing to give u all my love to u
 
Kipindi nipo chuo kuna msichana mmoja nilitokea kumpenda nilikutana naye kwa mara ya kwanza na kumwelewa siku hiyo hiyo tukabadlishana kilichoendelea mbeleni ni mapenzi motomoto ila baada ya mda akaniambia ana ujauzito wa mtu mwingine alioupata kabla ya mimi kuwa nae, nilimpenda hivyo tukaelewna asitoe ujauzito.
she is cute ukilinganisha na look yangu tulikuwa kama maua vle akawa ananiambia I KNOW U LOVE AND TO ME I NEVER SEEN A MAN LIKE U na kusema kweli alikuwa amazing mzuri na kuanzia upstairs mpaka 6x6 sweat and wet papuch baada ya pale alianza kuwa na marafiki marafiki zake walianza kumwendesha nikaona isiwe kesi tukaacha ila kwa shingo upande
Ilifika mpaka mahali marafiki zake wananitumia jumbe fupi kuniambia mambo mengi, kudanganya yupo sehemu fulani huku nipo nae, marafiki sio watu waangalie kwa makini.
Hongera L... ulijifungua salama na kumpa mtoto wako jina langu i appreciate for that, K yako ilikuwa so nice especially michezo yako ya kusquirt.
Uzuri tu sikukaa mda nikapata kifaa kingine kama wewe siunajua uchawi hauendi kwa mentali kuwa handsome raha sana.
 
Mi wangu nimemnunulia iphone 7 plus red alafu nimechukua iphone 6 yake natumua mi mana imechoka sana ni njia ya kuficha michepuko yng na vyuma vikilegea nampa na gar mpya kabs mana namtenda sana bila kujua najificha sana coz nampenda mpk naumwa ila kero zake ndo zinanitoa nje nagombezwa kama mtt tatizo nimemdekeza sana
 
Kuna MTU anakumendea humu Kanifuata inbox eti nimuunganishie Kwako!
Natafakari Sijui nimuunganishie,nimpotezee Au Nifanye Mwenyewe.....
Mlete mlete ila kama hana hela staki
 
Mlete mlete ila kama hana hela staki
Ana Hela ila wanawake ninaowafahamu wanamkimbia Sijui Kwanini!
Huwa sio Muongeaji Anapenda kutumia watu!
Tatizo nikimuunganishia Utakuja Kunilaumu Tuuuu,mi najua Tuu!
Ngoja niendelee kutafakari Kwanza....ikibidi Ntaingia Front mwenyewe!
 
Nawaza tu hapa ni lini na mm nitapata ushuhuda wa mapenzi niulete humu, being single ni kazi kwelikweli .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom