Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Nimemwambia sana hanielewi sana sana nimeona anaflirt na mtu kwenye hii post
Hahaha kuna kitu nine note....
From U....
Inaonekana wewe ni Mtamu sana....(joking)na Kuna ka uwezekano Hujapata wa Kukukuna perpendicular to your needs/desire.
All in all!
U like to enjoy the friendship!and Up to date Events! Live long Member!
 
Valentine zoote nimekua na love sanaa na watu wangu wa karibu kama wazazi...brotherz n sisterz ila my heart haijawahi melt for the one yo can call Soulmate/mpenzi wa kweli wa kuoa nataka sana hiyo feeling nione inafeel ajee...sometimes we fake it but ikiwa real najua inaeza kua awesome zaidi sanaa
 
Hahaha kuna kitu nine note....
From U....
Inaonekana wewe ni Mtamu sana....(joking)na Kuna ka uwezekano Hujapata wa Kukukuna perpendicular to your needs/desire.
All in all!
U like to enjoy the friendship!and Up to date Events! Live long Member!
Hahahahaa.
 
huu ni mwezi wa mapenzi
tunaomba kila mtu atoe ushuhuda wa maisha yake ya mapenzi
je upo kwenye mapenzi na mtu?
kama ni mume/mke je ni kweli unampenda mwezako kimapenzi? na yeye je anakupenda au mpo tu kwa ajili ya watoto?

mimi nipo bilabila sina anaenipenda wapo wanaonitamani tu wanile papuchi wasepe ila sijawahi kuona mtu ananipenda sidhani . na mimi nimeacha kupenda penda .
Mimi nina mke nampenda sana ila nikikupata hata wewe ntakupenda pia maana natafuta mke wa pili sasa hivi. Ninaahidi nitawapenda wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom