Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,393
- 88,770
Hahahahaaa. Basi ntavumilia tu bby hata ukiniumiza nitashikana hivyo hivyo.Yaani unamsikiliza huyo Vale?
Mwenzio anataka uachane na mimi ili abaki yeye tu.
Hakuna anayeweza kustahmili competition na saba mara sabini😀
Stuka.......

