Mike dee
Senior Member
- Oct 18, 2016
- 104
- 91
Inaonyesha we ni mtu poa sana.Hahahaa. Utakesha sasa?
Inaonyesha we ni mtu poa sana.Hahahaa. Utakesha sasa?
"Hearsay" tu wala hakuna nilichofanywa. Nimewahi kuwa na urafiki wa mda mfupi na mtanga...and she was....wooow, huwa namkumbuka.Watanga ndo wazuri mkuu. Tunajua mapenzi ya moyoni mpaka ya kitandani. Ulifanywa nini Tanga mpaka utuogope?
Ukisema unipende na mimi nikupende mkuu utanipenda zaidi.ooouww really...sema una maneno mazuri yanayoweza fanya mtu azid kukupenda
Sana kabisa. Kwenye urafiki zaidi lakini kwenye mapenz nazinguaga sometimes hasa nikiwa sipendi.Inaonyesha we ni mtu poa sana.
Mzigua90 banaaaa!Sina mpenzi ila wanaonipenda kwa dhati wapo na wanaotaka kula papuchi wako wengi zaidi. Sijakata tamaa ya kupenda nasubiria nipate mwingine nimpende hata akatokea mtu nikamuelewa nitampa papuchi kiroho safi.
Hahahaa. Atakua amekukumbuka na yeye huko alipo leo."Hearsay" tu wala hakuna nilichofanywa. Nimewahi kuwa na urafiki wa mda mfupi na mtanga...and she was....wooow, huwa namkumbuka.
Ndio maana nikasema unaonekana "full of love".
Utani tuu.Mzigua90 banaaaa!
Basi sawa!
sidhani!!Hahahaa. Atakua amekukumbuka na yeye huko alipo leo.
Ahahaa hopefully inaweza tokea usizingue kwangu.Sana kabisa. Kwenye urafiki zaidi lakini kwenye mapenz nazinguaga sometimes hasa nikiwa sipendi.
Huwezi jua mkuu.sidhani!!
Inawezekana pia.Ahahaa hopefully inaweza tokea usizingue kwangu.
unampenda mwanaume wa dizain ganiRabaika
Hahahaa Aiseee Eti ana ruka ruka kama Maharage....labda hajui kama unampenda,fanya Maishara kwake atajua tuu...mwambie hata Unakubali sana michango yake ataelewa somo!Mi bwana kuna memba humu nampenda sana tatizo anaruka ruka kama maharage. Embu nisaidie nimfanyaje?
Kukupenda zaid sio kosa..kweli wewe ni open minded..you speak your mind mpaka baasi naona quote zako...nacheka sanaaUkisema unipende na mimi nikupende mkuu utanipenda zaidi.
Oooh yeah!!! Sasa hapa nalalaje Kwa mfano???Inawezekana pia.
Nimemwambia sana hanielewi sana sana nimeona anaflirt na mtu kwenye hii postHahahaa Aiseee Eti ana ruka ruka kama Maharage....labda hajui kama unampenda,fanya Maishara kwake atajua tuu...mwambie hata Unakubali sana michango yake ataelewa somo!


Kukupenda zaid sio kosa..kweli wewe ni open minded..you speak your mind mpaka baasi naona quote zako...nacheka sanaa




kuna uongo na kweli humo humo.Basi tukeshe humu.Oooh yeah!!! Sasa hapa nalalaje Kwa mfano???
Usijali leo mpaka asubuh.Basi tukeshe humu.
Ambavyo nilitamani nikeshe humu leo ila njaa itanikimbiza mapema.Usijali leo mpaka asubuh.