Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Mmmhhh.....ngoja nisubir nione kaa kuna mtu atatoa ushuhusa juu ya mapenzi yetu.....
 
Ningekuwa nakunywa leo ningekunywaaaa mpaka nilale bar

Ngoja nikagongee cha ukucha
Unaweza jikuta strong ila mapenzi yakakufanya kama mlenda

Mxiiiew
Mapenzi hayana ustrong wewe. Kanywe ulale
 
Sie wapenzi watazamaji tu, tunatazama tu mwaego kuna msururu unakutazama Hahaha Maana we sio kwanza humu
mi mwenyewe sitaki kuwa wa kwanza. Halafu unaemuhisi sie ujue. Mtu mwingine kabisa. Muache N baby wangu wa dhahabu. Huyu wa jana leo na kesho.
 
Mie hata sijielewi
Sielewi kama niliye naye nampenda au nipo tu.

Kuna saa najihisi kumove on, but I love his dick .
Kuishi na mtu asiyekuamini ni mtihani sana.
Yaani unashindwa kuaga kibamia kabisa? Si ujaribu zingine?
 
Mnoooo. Mwenyewe ex wangu nilikua nampendea jinsi tunaconnect when we make love. Ndo mwanaume ambae nakua nae huru on bed. Ila alikua haniamini kabisa na ni kwa sababu ndugu zake na marafiki zake walikua wanamwambia haniwezi na yeye alikua anajua mwanzoni hawezi kuwa na mimi sababu hawez kujua kama naweza mpenda mtu kama yeye. Sema mie mwenzie ndo nilikolea yeye sasa anajua ntamuacha at any time t. Basi bwana aende tu salama ntapata mwingine ntampenda zaidi yake
Pole sana wanaume pasua kichwa sana
 
mi mwenyewe sitaki kuwa wa kwanza. Halafu unaemuhisi sie ujue. Mtu mwingine kabisa. Muache N baby wangu wa dhahabu. Huyu wa jana leo na kesho.
We nae kwa kumtaja Huyo hata hahusiki Hapa wenzio tushagaywa kwanza unamvyotaja unaleta mengine
Huoni nimekuambia Utanitajia pm,
 
Utanitajia pm shogaa,, ila ushauri sikuoni upoje kwanza yaliyomo unaweza bahatisha mwaya
Tushabahatishana ivoo. Hata ikishindwa kufanya kazi trust me tutakua hivi hivi. Ndo maana nakwambia huyu wa jana leo na kesho. Sema sasa huyu sio N kabisa kabisa. Mimi na N ni zaidi ya hivi ndo maana hatuwezi kudate wala kuachana
 
Ihihiii N huyu naemjua Mimi au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom